Nauliza tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauliza tu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pearl, Jan 7, 2011.

 1. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi huduma za kuangalia camera Bank ni za kulipia?kuna ndugu yangu kaibiwa 1.2 M alikuwa anaandika baada ya kumaliza kujaza amount and all, that bahasha ya pesa ilikuwa pembeni sasa achukue ile bahasha ili aweze kuhesabu hela bahasha ikawaishachukuliwa pale pale bank,akatoa ripot na kuomba kama anaweza kucheki kwenye camera kaambiwa alipie sh elfu 25!(imetokea leo asb)Hii ni sawa kweli?labda cjui jamani.
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,658
  Likes Received: 8,211
  Trophy Points: 280
  Duh jamani..basi kachakachuliwa na wa2 wa hapohapo!!!
  Akomae nao tu..
  ila poleni..sana!
   
 3. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60

  pole, ungetaja jina la bank na tawi ili na wengine wawe wajihadhari wawapo hapo, pia malalamiko mengi wanaweza kujitokeza hai wahusika zikawafikia
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  25,000 = CCTV Camera Scanning!
   
 5. S

  SWADO Member

  #5
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  As I know hiyo huduma huwa hailipiwi coz kuna bank charges what is the use of it. Hiyo ni janja tu ya mhusika sidhani hata kama uongozi utakuwa unafahamu.
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Sasa pesa hajahesabu anaandika nini tena?
   
 7. S

  SWADO Member

  #7
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah poleni sana P hii ndiyo Tanania kila huduma lazima utoe chochote thats why kila siku tunaandamana hadi tuwe huru kupata service.
   
 8. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ni CRDB HOLLAND!
   
 9. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni nini dada yangu,kwa utaratibu wao hawawezi kutoa picha bila kuwalipi!je unaweza kuvunja utaratibu wao?
   
 10. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Alishahesabu nyumbani pale alikuwa anatoa kwenye bahasha kwajili ya kukabidhi ofcourse wengine wanahesabu tena
   
 11. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ameibiwa halafu alipie kumtafuta mwizi? Hii kali, poleni sana
   
 12. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #12
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dada kwanza pole..

  Lakini hata wangesema 100K, inrelation to 1.2M, usingetoa?
  Kama jambo hilo litasaidia kupatikana kwa hela hizo unaona shida gani kutoa 25K?
  We toa kwanza , then wakishindwa kukusaidia baada ya hapo, story hii ndo itanoga zaidi...

  Ukitafuta sana chanzo cha mkia utashika mbolea!
   
 13. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Cha ajabu ni kwamba kalipa pesa hiyo camera imeonyesha alivyoingia mpaka wakati anajaza form eti baada ya hapo ikaonyesha anavyoenda kuripot!haijaonyesha mtu alochukua hiyo bahasha wanasema camera haikai standby sehem moja inazungukazunguka sehem tofauti
   
 14. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu hizo gharama za camera unataka zibebwe na nani?kamera hizo ziliwekwa ili kuisaidia kenki kulinda mali zake na si mali za wateja!!ndiyo maana wanataka zilipiwe!!
   
 15. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!sasa hiyo ni changamoto ambayo inatakiwa kufanyiwa kazi siku za zijazo!Kamera imeonyesha udhaifu mkubwa sana!!
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Basi wanaohusika wako humo humo!Labda ndo mchezo wao!Poleni ila next time mtu kumbatia kibahasha chako mpaka unakabidhi!!
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ina maana alikuwa anakusudio la kuweka pesa na sio kupokea.

  Hapo kidogo inaleta mantiki kuwa benki haina 'uhakika' kuwa huyo jamaa alikuwa kweli anazo hizo pesa kwa hiyo kwa usumbufu ndio wanamtoza.

  But still ungetarajia wamfanyie bure


   
 18. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  yap alikuwa anaweka dear.[
   
 19. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  pole sana dada yangu,kwa kuwa pesa zinatafutwa mungu atakusaidia kupata pesa nyingine!
   
 20. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Pole sana,nafikiri katika hali hiyo ya kuchanganyikiwa na nini hawakupaswa kumdai tena elfu ishirini na tano bali kumsaidia......wangeweza hata wam-charge baadaye?Sad,i hope all goes well.
   
Loading...