Nauliza tu: Kwanini Zitto hashiriki kwenye M4C? Kwanini yupo karibu sana na CCM?

Kazi za chama ziko nyingi. mnakumbuka wakati wa mchakato wa ubunge Arumeru, yeye alikuwa huko kiwira na kwingine akikampenia madiwan, na wakashinda. mnakumbuka?
Hii itasaidia sana watu kuacha majungu na kuwa negative
Tatizo ukiishakuwa jembe kila ufanyalo watu hulitafsiri kwa miono yao
Kuna kitu kinaitwa division of labour, katika kazi hata ukienda hospitali kila mtu ana kazi yake
Kuna madakitari wa vichaa , wa meno , wa uzazi nk
Huwezi kumlaumu daktari wa meno kwa nini amempita mgonjwa wa moyo bila kumsaidia eti kwa sababu yeye ni dakitari.
 
Anyway, its Andy Murray against Thomas Berdych right now![/QUOTE] Andy is the winner; thread nyingine kama hizi tutasema anajianzishia mwenyewe ebu tujadili ya maana kuliko hasara ya anayeamua kutumikia "mabwana wawili"
 
OK pengine tutakutana huko hila kwakuwa hatujuani pengine tukapishana. Siku njema and enjoy the show kama utakwenda.
Nakufahamu na unanifahamu vizuri
ok ukiingia ukumbini wewe ita chiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
na mimi nitajibu zinjaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ritz unasema umeishi UK?
Mitaa gani manake MK nimekaa sana kule

Bletchley, Loughton, Shenley, kote maeneo yangu kuna watu wangu kibao lakini wamejilipua kuna wengine walijifanya raia wa Somalia, wengine Sudan, wana mikoba ya UK...vipi wewe ujajilipua kweli wewe.
 
Bletchley, Loughton, Shenley, kote maeneo yangu kuna watu wangu kibao lakini wamejilipua kuna wengine walijifanya raia wa Somalia, wengine Sudan, wana mikoba ya UK...vipi wewe ujajilipua kweli wewe.
hahahaah
mjomba mie sio kama unavyozani mkuu ila kama mtu kajilipua mie namfagilia sana kwa sababu ndio maisha ya huku na ndio ujanja, wewe mwenyewe unajua hilo na watu wameamua kujilipua kwa sababu hawawezi kurudi home hali mbaya, hivi unazani kama home kungekuwa bomba watu wangejibatua?
 
Umepona kweli Milton Keynes watu kibao walipunguzwa kazi lakini walilipwa, au unapiga box London.
Mie nilihama kabla ya hilo fagio kwa sasa niko london napiga boksi kiume mkuu
 
poa kaka mie napiga kazi zote nina uzoefu sana kwenye boksi

Kumbuka nguvu zinaisha huwezi kubeba box miaka yote, nikipata muda taku-PM vitu vya kuleta bongo upige hela...Gwanda wewe.
 
Kumbuka nguvu zinaisha huwezi kubeba box miaka yote, nikipata muda taku-PM vitu vya kuleta bongo upige hela...Gwanda wewe.

nitashukuru sana mkuu
mie sitaki kuleta mafriji tena lakini nataka kazi ya kuajiriwa kama udereva nk
 
Zitto ni popo. He is undefined at all. Anyway anajijua mwenyewe!

Mkuu mie nazani watu tunamjaji mtu kabla ya upelelezi haujakamilika.
Tusiwe paranoid kuanza kutafuta mchawi kabla hata mambo hayajakamata kasi.
Mie nina imani na zitto nazani ni njama za ccm kupandikiza chuki ili tugombane.
 
Back
Top Bottom