SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,989
Kama madaktari na watu wengine wanasema kutofanya mapenzi muda mrefu ni kupata tatizo la akili .
Nauliza mbona waganga wameoa wake hadi 10 , na zaidi , na bado hawana afya ya akili nawamechanganyikiwa tu . Hadi wengine wanaparamia wateja wao .
Kuna hawa wanaojiuza mbona wao wanafanya mapenzi kila daily na watu tofauti ila wao ndio wanatatizo la afya ya akili.
Hata wanandoa wananyanduana kila daily na ndio wao wana matatizo ya afya ya akili inachoonekana ni kwamba kufanya mapenzi sio afya ya akili bali ni uharibifu wa akili .
Nibora mtu achague kutafuta hela sana kuliko kuweka nguvu katika mapenzi.