Nauliza mbinu za kumuacha mwanamke aliyekuganda

Husika na kichwa cha habari hapo juu , hivi unafanyaje kumuacha mwanamke ambaye amekuganda anatoa hadi kauli anaweza kujinyonga kwaajili yangu , ukizingatia mimi nina moyo wa huruma siwezi kumuacha kikatili ijapokuwa kuna mtu mwengine kwake nimekolea zaidi
punguza na hatimae cut off kabisa mawasilinao nae na ndani ya kipindi kifupi tu tatizo na ghasia hiyo ulio nayo litakua imekwisha kabisa gentleman :NoGodNo:
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu , hivi unafanyaje kumuacha mwanamke ambaye amekuganda anatoa hadi kauli anaweza kujinyonga kwaajili yangu , ukizingatia mimi nina moyo wa huruma siwezi kumuacha kikatili ijapokuwa kuna mtu mwengine kwake nimekolea zaidi
Kuwa bize na mambo Yako mkuu
 
Oyaa mwambie aje kuniungisha dukani kwangu nauza hadi kamba nitamfanyia kwa bei nafuu
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu , hivi unafanyaje kumuacha mwanamke ambaye amekuganda anatoa hadi kauli anaweza kujinyonga kwaajili yangu , ukizingatia mimi nina moyo wa huruma siwezi kumuacha kikatili ijapokuwa kuna mtu mwengine kwake nimekolea zaidi
Pole mkuu.

Watu ambao hawajapitia hili tatizo wanaweza kulichukulia poa, tuliopitia tunajua shughuli pevu.
 
Back
Top Bottom