Nauliza kwa mara ya mwisho, Export ya Mafuta ya Kenya inaenda wapi?

Export inaenda wapi, nchi gani inanunua? Ndicho nilichotaka kujua!
wewe!!! shule za ata usituaibishe hapa!! wamekuja wenyewe wakenya wamefafanua kuwa kwa sasa export haijaanza wanayapeleka mombasa mpaka kiwango kiwe kikubwa ndio watangaze tenda ya ku export sasa unarudia tuu swali hilo kwani hukusikia juzi serikali ya kenya imelitolea ufafanuzi?
 
wewe!!! shule za ata usituaibishe hapa!! wamekuja wenyewe wakenya wamefafanua kuwa kwa sasa export haijaanza wanayapeleka mombasa mpaka kiwango kiwe kikubwa ndio watangaze tenda ya ku export sasa unarudia tuu swali hilo kwani hukusikia juzi serikali ya kenya imelitolea ufafanuzi?


Nikuaibishe wewe???? kivipi? Kwani tunajuana?
 
Export inaenda wapi, nchi gani inanunua? Ndicho nilichotaka kujua!
mnunuzi alikua kati ya china na india... anyway, zikikamilika hizo 400, 000 barels ndo tutajua mnunuzi ni nani manake oil yote itasafirishwa kwa mpigo.... mimi hata sitaki kujua mnunuzi ni nani, hilo ni swali la muuzaji ambaye ni akina Tullow, Total, Cnoock... nacho taka kujua muhimu zaidi ni barels ngapi kwa shilingi ngapi na ikishauzwa kenya inapata % ngapi ya mapato
 
mnunuzi alikua kati ya china na india... anyway, zikikamilika hizo 400, 000 barels ndo tutajua mnunuzi ni nani manake oil yote itasafirishwa kwa mpigo.... mimi hata sitaki kujua mnunuzi ni nani, hio si muhimu, nacho taka kujua ni barels ngapi kwa shilingi ngapi na ikishauzwa kenya inapata % ngapi ya mapato
yeah that's the most important part....we have to ramp up production though to at least 200,000 barrels a day...any figure below that is just childsplay
 
Export inaenda wapi, nchi gani inanunua? Ndicho nilichotaka kujua!
nchi zitakazonunua bado hazijajulikana baba...ndio maanake ikasemekana kutafanywa bidding...ingawa hapo awali China ilitajwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazonunua mafuta ya Kenya ila hakuna uhakika wowote...
 
Ni nani ananunua mafuta ya Kenya? Najua wameanza kuexport mafuta ghafi lkn mpaka sasa hivi sijasikia nchi ya Kenya inauza mafuta wapi yaani nchi gani inanunua?

Najua baadhi mnaweza puuzia hili lkn kama hamjui mafuta yanapokwenda mjue hakuna kitu hapo ni kama dhahabu ya TZ mnapigwa live, hivyo niambieni kwanza nchi gani ina import oil ya Kenya? Yaani yakitoka Bandarini yanaenda wapi?
MK254 njoo ujibu kesi
 
Export inaenda wapi, nchi gani inanunua? Ndicho nilichotaka kujua!
Ushaelezwa kwamba Mafuta inaelekea Mombasa kwa sasa. Mambo ya export tutashughulikia baadaye baada ya bidding. Nchi itakayo quote bei nzuri ndio itakayouziwa. Kwa sasa mafuta ipo Mombasa. Nenda Mombasa utayaona, inaonekana una hamu nayo. Export itafanyika baadaye tuliza boli. 2,000 barrels per day itachukuwa miezi kadhaa kufikisha 200,000 barrels. (Serikali imeshusha target kutoka 400,000 hadi 200,000 barrels kulingana na business daily.)
 



ADVERTISEMENT
kazungusamuel_img.jpg

By KAZUNGU SAMUEL
More by this Author
SUMMARY
    • Kenya will look for buyers once trucks stockpile 200,000 barrels of crude at the Mombasa Port.
    • This is half the stockpile of 400,000 that the State had earlier announced before the kick-off of shipments.
    • It means the export date will be brought forward as opposed to the first quarter of 2019 as earlier estimated.




ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
ECONOMY
State cuts Turkana oil export period on reduced stock
THURSDAY, JUNE 7, 2018 22:45
dn+crude.jpg

PETROLEUM CHIEF ADMINISTRATIVE SECRETARY JOHN MOSONIK (RIGHT) AND OTHER RECEIVE THE CRUDE OIL OFFLOADING PIPE AT THE KENYA PETROLUEM REFINERY IN CHANGAMWE ON JUNE 7, 2018. PHOTO | LABAN WALLOGA







Kenya seeks to bring forward the export date for its early oil following the decision to ship out half the planned amount of the first stored cargo.

Petroleum chief administrative secretary (CAS) John Mosonik said the country will look for buyers once trucks stockpile 200,000 barrels of crude at the Mombasa Port.

This is half the stockpile of 400,000 that the State had earlier announced before the kick-off of shipments.

It means the export date will be brought forward as opposed to the first quarter of 2019 as earlier estimated.

Also Read
EconomyFirst Eurobond debt repayment to cost taxpayers Sh97.7bn
EconomyMilitary gets Sh4bn more for buying weapons

Mr Mosonik on Thursday oversaw the arrival of the first four trucks with crude at the Mombasa defunct refinery which has been converted into a storage facility. The trucks were flagged off by President Uhuru Kenyatta on Sunday.

It marked the kick off of the early oil export scheme (EOPS) that has dragged on since mid-last year.

The small-scale export plan aims to test the global supply logistics and determine the price-point for the Turkana oil.

Up to 110 trucks will haul some 2,000 barrels of oil per day under the early oil export plan.

READ: President Kenyatta flags off Kenya's first crude oil exports

Each truck has a capacity to haul 150 barrels of crude and will take 10 days to do a round-trip. It will be stored at the ageing refinery.

“Some of the completed works in this depot is the modification and insulation of the receipt tank with a capacity to hold 90,000 barrels, two adjacent truck unloading bays, a steam boiler for line heating and re-heating the crude oil trucks if necessary,” said Charles Nguyai, the CEO at the Kenya Petroleum Refineries Ltd (KPRL).

Oil movement will be by road for about two years ahead of the construction of an 865-kilometre crude pipeline that will allow commercial shipments.

Kenya’s recoverable reserves are estimated at 750 million barrels of crude and considered commercially viable.

Oil looks set to diversify the country’s exports, boost hard currency inflows and ultimately make imports like cars and machinery more affordable.

ADVERTISEMENT


by Taboola
Sponsored Links

You May Like

Flights In Czech Republic At Ridiculously Low PricesSave70.com


20 Foods That Are Killing You Slowlyhealthyandpretty


Top 30 Most Beautiful Women in the Worldfannntastic-woman


Prozkoumejte 4 destinace v Indickém oceánuLette s Emirates


20 Amazing Watches That You Can AffordThe Inner Beast


Easiest Ways to Immigrate to Canada From Czech RepublicDestinationON



1.3 million Kenyans file tax returns ahead of deadline[/paste:font]BY DOREEN WAINAINAH
7 HOURS AGO


Cooking gas re-fillers face probe over cylinder hoarding
BY JAMES KARIUKI
12 HOURS AGO


Sh46m fakes netted in Chinese warehouse
BY BONFACE OTIENO BY BRIAN OCHARO
1 DAY AGO


Uhuru now tells 15 PSs to go
BY IBRAHIM ORUKO
1 DAY AGO

ECONOMY
NEWS
CountiesEast AfricaWorld
CORPORATE
CompaniesEnterpriseHealthIndustryMarketPlaceShipping & LogisticsTechnology
LIFESTYLE
BD LifeArtFashionDesign & InteriorsGardeningFood & DrinksHealth & FitnessMan About TownMusicPersonal FinanceProfilesSocietyTravelBook Review
OPINION & ANALYSIS
ColumnistsEditorialsIdeas & DebateLetters
MARKETS
Capital MarketsCommoditiesCurrenciesGlobal MarketsMarket News
DATA HUB

Apps
Information
NMG Sites
Follow us

Business Daily








Ad
 
Ok kwa hiyo export ya oil haijaanza bado?

Sijasikia kwamba tumeanza kuuza, malori yalikuwa yanapeleka mafuta msa. Nadhani pia kua wakati walikuwa wanajenga oil pipes kupeleka msa. So, jibu ni la. Hatujaanza kuuza.
 
Hili swali tumeulizwa sisi wakenya ni rahisi sana. Swali ni:

Tumeanza kuuza mafuta?
Nani ananunua?
Malori yalikuwa yanapeleka mafuta wapi?

Sasa mbona wengine wenu mumeanza hadithi nyingi? this should not even have taken two pages NKT. Stay w/ the damn content!!!NKT.
 
Kingereza kinukupa taabu. Taafsiri isiyi rasmi- mafuta yanakusanywa Mombasa,pindi yatapofikia mapipa laki nne yatauzwa kwa taratibu ya mnada(international competitive bidding)


Ndiyo kinanipa tabu, siyo lugha yangu ya kwanza, kwa ni wewe ni native english?
 
Ndiyo kinanipa tabu, siyo lugha yangu ya kwanza, kwa ni wewe ni native english?

Mimi ni mkenya na nakuunga mkono na swali hili? mbona tunajigamba na lugha isiyo yetu na il hali yetu wenyewe yatushinda? mimi husema kwanza kiingereza ni lugha yangu ya tatu. Siyo vibaya kujuwa kingereza lakini ikifika kiwango eti hatujui lugha yetu vizuri kama vile tunavyojuwa lugha ya mkoloni, utumwa unaingilia hapo basi.

Wakenya wengine ikifika mambo na lugha yetu ya kiswahili ni kama bado tuko utumwani bila pingu na kengele. Ni utumwa wa mafikira.
 
Back
Top Bottom