Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,945
- 67,565
Inapatikana mitaa ipi wakuu?

safi sana hapa ni mwendo wa kuingia na cheti cha ndoa kama una mwenziInapatikana mitaa ipi wakuu?
![]()
Kwa nini??watu na lana zenu
Inapatikana Njombe mtaa wa mgendela.Inapatikana mitaa ipi wakuu?
![]()
mkuu...kwa nini monduli?Monduli.....!
Na kwanini isiwe Monduli?mkuu...kwa nini monduli?
IPO Njombe Mkuu, niliwahi kulala na majina ya vyumba ndiyo balaa, utakuta yameandikwa "Nazareth, Zaburi, Ufunuo n.k"Inapatikana mitaa ipi wakuu?
![]()
Analala MTU yeyote tena kwa bei chee kabisa, nami nimewahi lala hapo ni Njombe@wanalala watumishi au wachungaji na mashemasi tu
Watu wanagegedana kwenda mbele, hakuna ukaguzi wa vyeti vya ndoa wala nini@safi sana hapa ni mwendo wa kuingia na cheti cha ndoa kama una mwenzi
vinginevyo hakuna kuingia na michepuko.
safi sana.