Nauli ya Meli kutoka Mwanza - Bukoba yapanda

Nauli ya Meli kutoka Mwanza - Bukoba yapanda

Kwa nauli hiyo ya chini ninaweza kutalii Bukoba kila weekend, kula bata, na kuamkia kazini siku inayofuata!
... na mimi sio tajiri! 😅
 
Mdau hapo kasema nauli kutoka mwanza-bukoba ni 20,000/= kwa basi, na kwa meli nauli mdo hizo kubwa kubwa!!.

Naomba kuuliza umbali/muda kufika A to B kwa kutumia meli na basi ni masaa mangapi maana katofauti ka nauili ni kakubwa kwakweli!!
 
Unamaanisha daraja la kwanza huwa linakuwa na watu wengi kiasi hiko cha kuweka msongamano?
Ninamaanisha kuwa baada ya mlango wa daraja la kwanza kuharibika, wanatumia mlango wa daraja la pili, kwa hiyo madaraja yote mawili wanatumia mlango mmoja na kusababisha msongamano
 
Back
Top Bottom