Nauli ya Meli kutoka Mwanza - Bukoba yapanda

Meli ya MV Victoria ilikarabatiwa kwa fedha nyingi sana takribani shs billion tatu. Chakushangaza ngazi ya mlango wa daraja la kwanza iliharibika miezi michache tu baada ya Meli hiyo kuanza huduma,tangu wakati huo mpaka ninavyoandika leo wameshindwa kurekebisha tatizo hilo na kupelelkea msongamano wakati wa ku board na wakati wa kutoka ,kwani abiria wanalazimika kupitia mlango wa daraja la pili na hili limekuwa ni tatizo la muda mrefu pamoja na maoni ya abiria kwa uongozi hasa kipindi kile cha COVID.
Sasa kama wameamua kupandisha nauli walitendee haki na kulipa hadhi yake daraja la kwanza kama inavyostahili.
Sio bilioni tatu...imekarabatiwa kwa tsh billion 22
 
Kwny ukarabati,ujenzi hapo ndiko mwendazake& associates walikua wanapigia pesa vzr,waulize watu wa Dar kipindi alipokua Waziri aliwaletea kivuko kinatembea mwendo wa konokono Hadi ukipiga mbizi unakiacha huku amekinunua kwa mabilioni.Alivyokua rais akasema Ile meli anaikabidhi jeshi ili aone Kama mtaendelea kupiga kelele.
 
Na Meli inatumia dizeli kama basi na inakataa short kati! Tunahitaji udadavuzi wa teknikali na uchumi kuelewa sababu.
Karibu sana kwa ufafanuzi!
Watu wanafanya watakavyo bila bughudha !! Kwani nani asiyetaka kupata faida kubwa kadri inavyowezekana ??!
 
Nauli kutoka Mwanza kwenda Bukoba au kutoka bukoba kwenda mwanza imepanda na itaanza kutumika jumatatu ya tarehe 4 July mwaka huu.

Daraja la chini ilikuwa 16000, itakua 21000
Daraja la Kati ilikua 30000, itakua 40000
Daraja la Juu ilikua 45000, itakua 55000

Naipongeza sana serikali kupandisha nauli hizi, kwa kuwa gharama za uendeshaji zimepanda sana lakini pia hizi nauli bado ni ndogo sana nashauri serikali iongeze nauli mara mbili ya hizi zilizopanda 21000 iwe 44000, 40000 iwe 80000, na 55000 iwe 110000.

View attachment 2278571View attachment 2278572
Safi sn yaandaliwe maandamano ya kumpongeza Mhe Rais anaupiga mwingi sn
 
Zipande tu kama Mwendazake alikuta sukari 1500 akaipeleka 3000 acha wacheze tu... kwanza ongezeko sio kubwa wasoweza wapige mbizi in KAYAFA'S voice.
Watapandisha magogo. Siku hizi mabasi tele mwanza bk masaa matano. Kama si kivuko kuleta majonjo mwendo wa masaA tu
 
Nauli kutoka Mwanza kwenda Bukoba au kutoka bukoba kwenda mwanza imepanda na itaanza kutumika jumatatu ya tarehe 4 July mwaka huu.

Daraja la chini ilikuwa 16000, itakua 21000
Daraja la Kati ilikua 30000, itakua 40000
Daraja la Juu ilikua 45000, itakua 55000

Naipongeza sana serikali kupandisha nauli hizi, kwa kuwa gharama za uendeshaji zimepanda sana lakini pia hizi nauli bado ni ndogo sana nashauri serikali iongeze nauli mara mbili ya hizi zilizopanda 21000 iwe 44000, 40000 iwe 80000, na 55000 iwe 110000.

View attachment 2278571View attachment 2278572
Kwamba ziongezeke watu wateseke ndo furaha yako na CCM?? Roho mbaya hiyo mkuu
 
Kwny ukarabati,ujenzi hapo ndiko mwendazake& associates walikua wanapigia pesa vzr,waulize watu wa Dar kipindi alipokua Waziri aliwaletea kivuko kinatembea mwendo wa konokono Hadi ukipiga mbizi unakiacha huku amekinunua kwa mabilioni.Alivyokua rais akasema Ile meli anaikabidhi jeshi ili aone Kama mtaendelea kupiga kelele.

Hahaaa, eti ukipiga mbizi unakiacha,
 
Kwani nauli ya basi kutoka Dar mpaka Bukoba ni kiasi gani? Inakuaje nauli ya kusafiri kwa Meli kutoka Mwanza kwenda Bukoba iwe kubwa zaidi - wakati umbali hauzidi 300 Kms!!!
Unazungumzia dar bukoba kwa bus wakati uzi unazungumzia meli kutoka mwanza to bukoba. Wapi imekuwa kubwa? 21000 ni kubwa kuliko ya bus za dar to bukoba?
 
Meli ya MV Victoria ilikarabatiwa kwa fedha nyingi sana takribani shs billion tatu. Chakushangaza ngazi ya mlango wa daraja la kwanza iliharibika miezi michache tu baada ya Meli hiyo kuanza huduma,tangu wakati huo mpaka ninavyoandika leo wameshindwa kurekebisha tatizo hilo na kupelelkea msongamano wakati wa ku board na wakati wa kutoka ,kwani abiria wanalazimika kupitia mlango wa daraja la pili na hili limekuwa ni tatizo la muda mrefu pamoja na maoni ya abiria kwa uongozi hasa kipindi kile cha COVID.
Sasa kama wameamua kupandisha nauli walitendee haki na kulipa hadhi yake daraja la kwanza kama inavyostahili.
Unamaanisha daraja la kwanza huwa linakuwa na watu wengi kiasi hiko cha kuweka msongamano?
 
Kwani nauli ya basi kutoka Dar mpaka Bukoba ni kiasi gani? Inakuaje nauli ya kusafiri kwa Meli kutoka Mwanza kwenda Bukoba iwe kubwa zaidi - wakati umbali hauzidi 300 Kms!!!

Wewe ni mpumbavu sana na taifa hili liko hapa kwa sababu ya aina hii ya akili. Unadhani usafiri wa ndege kutoka Dar mpk Bukoba nao unapaswa kuwa na uwiano na wa mabasi, gari binafsi, treni na meli??? Wewe unadhani ukipanda basi kutoka kituo A kwenda B kwa taxi na ukapata chombo cha umma kutoka A kwenda B, nauli zitakuwa sawa???

Hebu tumia theory nyingine kupinga kupanda kwa nauli - sio theory ya “distance”!!
 
Nauli kutoka Mwanza kwenda Bukoba au kutoka bukoba kwenda mwanza imepanda na itaanza kutumika jumatatu ya tarehe 4 July mwaka huu.

Daraja la chini ilikuwa 16000, itakua 21000
Daraja la Kati ilikua 30000, itakua 40000
Daraja la Juu ilikua 45000, itakua 55000

Naipongeza sana serikali kupandisha nauli hizi, kwa kuwa gharama za uendeshaji zimepanda sana lakini pia hizi nauli bado ni ndogo sana nashauri serikali iongeze nauli mara mbili ya hizi zilizopanda 21000 iwe 44000, 40000 iwe 80000, na 55000 iwe 110000.

View attachment 2278571View attachment 2278572
Kweli wachawi hawawezi kuisha duniani,Sasa wewe gharama za uendeshaji unahusika nazo vipi km sio uchuro ni nini?.
 
Back
Top Bottom