Nauli na mafao ya askari wastaafu kucheleweshwa ni mateso

Wasilipwe kabisa hao, tena ikibidi wawekwe ndani
 
Namshauri mama yetu Mpendwa sana aunganishe hii mifuko ili iweze kukidhi matakwa ya wastaafu,
Psssf ni mfuko mfu, labda wauze vitega uchumi vilivyopo ambavyo havifanyi vizuri mfano ppf towers, pspf towers nk.
Otherwise iko siku mfuko utazikwa
 
Tatizo LA askari ni kushindana kuendesha brevis na alphad kuwekeza hawajui Pia u Malaya kijinga unawacost
 
Hawana Thamani Tena....Hapa Muda wa Majuto Ndo Huanza.... Kuna Wimbo wa Lucky Dude Inaitwa Soldier and Righteousness. Ukiusikiliza Utaelewa... Kwanini wanakuwaga na Majuto wakistaafu
Nendeni mkaandamane kudai hela zenu, halafu watakuja askari vijana kuwashughulikia kwa virungu.... mshahara wa dhambi ni mauti😡
 
Wapinzani wangekuwepo bungeni wangewatetea Askari lakini Askari hao hao ndio walishirikiana na wanaowacheleweshea nauli/mafao kuukandamiza upinzani.
Mtajua hamjui.
Nendeni mkale mlikopeleka mboga
Siku hizi tunasema kale mmaako alipo olewa
 
Tusijuimuishe mabaya yanayofanywa na baadhi ya askari kwa kuwahukumu polisi wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…