Na mimi mlalahoi naomba kutoa hoja kidogo, kama hiki kivuko kinaendeshwa na serikali naomba sisi waenda kwa miguu tusilipe kitu. Swali la nyongeza ni je ikijengwa daraja, itakuwapo na njia ya wapita kwa miguu na ikiwepo je tutatozwa nauli ?
Mchambuzi,
Asante kwa maoni yako ingawa naona umeingia mtego wa Waziri Magufuli wa kuhamisha mjadala wa Kivuko kuwa Mjadala wa Ubungo.
Swali lako ni kuhusu 200, kwni kabla ya 200 alikuwaanafanya nini akiwa hana hela?
Sio lazima mje mjini.
kwa hili jawabu lako maana yake ni kwamba wenye haki ya kukaa mjini ni wenye hela tu, siyo?
NDIO!!
Sasa kwanini tunaongeza nauli? hili ile ipatikane ya kuendesha cha Pangani? Kilombero? au?
Magufuli si alisema kuwa Kigamboni inaendeshwa kwa hasara na ina hudumiwa na vivuko vingine?
huoni kuwa katu danganya?
Thamani ya 200 huioni?
Pople sana ndugu yangu unless wewe ni Fisadi au ni mzee wa Rushwa,
Tajiri yeyote na mtu yeyote anayejali matumizi na bajeti kwa vyovyote 200 ni kubwa sana, just Imagine ni watu wangapi kwa siku wana vuka pale? Ndio maana huwa tunaibiwa sana, Fikiria kampuni ya simu inawateja 5Mil ikiwaibia wateja wake wote kila mmoja ndani ya wiki 200 200, ni shilingi ngapi? Tuache dharahu!!!!
We jamaa wa wapi? au unafikiria kutuimia MASABURI? aliyekuambia kwetu KIMBIJI tunauwezo wakumiliki hilo gari ni nani? uwezo wetu ni baiskeli na guta kama hujuhi.
hona hapa!
halafu ndugu mchambuzi, kwa nini ulifanya ceteris peribus ukabakia na nauli ya binadamu tu? Kwenye uzi wako kuna 100, 200 na 300 tu. Kwa kuacha variables nyingine (guta, bajaji, gari n.k.) unadhani hoja yako sahihi?
Mkuu Mchambuzi, ufafanuzi wako unaleta maana zaidi ya porojo.
Bajaji mpya hutumia lita moja kwa kilometa 35.
0.7 litres kwa kilomita 25.Ambayo ni sawa na shs 1400$ kwa bei ya sasa ya mafuta.
Bajaji kama siyo mpya inaweza kutumia lita moja ya petroli kwa umbali huo.
Kwa hiyo, wakazi wa kigamboni watakaotumia bajaji kwenda mjini, watatumia karibu shilingi 2000 kuvuka ng'ambo ya pili.
Kwa hivyo hiyo 1300 hata daraja likjengwa, ndiyo itakuwa gharama ya bajaji kwenda ng'ambo ya pili.
Mnyika amewapotosha wananchi kwa kuwafanya waamini kuwa kuna mbadala sawa wa kivuko na daraja. Kuwa sehemu ile ile iliyopo kivuko, basi inaweza kuendelezwa kwa kuwekwa daraja na hivyo masafa yanayovukwa kwa kivuko ndio hayo hayo yatakayovukwa kwa daraja
Alipaswa aelewe mapema na azingatie kuwa technically hilo haliwezekani hususan kwenye eneo ambalo tayari limeshaendelezwa kama Kigamboni/Magogoni
Hutaki daraja? Kama unataka, 2015 itabidi kilomita 7 mpaka mjini.... sawa na Temeke-posta. Mia tatu.umetumwa na mafisadi kaka maana gazeti lao la uhuru kila siku linamwandika magufuli,mnyika mtu makini sana,hawezi kukurupuka hata dk.slaa ulimsikia tushughurikie matatizo ya wananchi kwanza.unaonekana huna huruma na watanzania wenzako unajali siasa kuliko matatizo ya tanzania.over
Hutaki daraja? Kama unataka, 2015 itabidi kilomita 7 mpaka mjini.... sawa na Temeke-posta. Mia tatu.
kwa hili jawabu lako maana yake ni kwamba wenye haki ya kukaa mjini ni wenye hela tu, siyo?