habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
- Thread starter
- #21
Kila kitu kina nafasi yake mkuuHivi magufuli alivyobana namna hii,wenzetu mnatoa wapi muda wa kuwaza mapenzi?
Kila kitu kina nafasi yake mkuuHivi magufuli alivyobana namna hii,wenzetu mnatoa wapi muda wa kuwaza mapenzi?
HeeeeeeeeNilimpenda tu, baadae nilimwambia, akanqmbia nimsubir
Wanicheka sasaHeeeeeeee
Du!Inategemea na jinsia yako...
Aiseee kwann hatupendani lkn?ukifa niambie
sababu hupendwi unalazimisha .. jifunze kujipenda kwanza weweAiseee kwann hatupendani lkn?
miss chaggaukifa niambie
abeemiss chagga
Hii ndio kanuni namba moja katika maisha yangusababu hupendwi unalazimisha .. jifunze kujipenda kwanza wewe
na ni nzuri itakufanya ujione bora kila sikuHii ndio kanuni namba moja katika maisha yangu
Sikuzote imenijenga na kujiona bora na mpya kila siku aiseeeee.....na ni nzuri itakufanya ujione bora kila siku
Yaan hata alivokuambia ivo bado uliendelea kumpenda tu!?? Una moyo wa tofautWanicheka sasa
Mambo vipi mkuuabee