Sio kazi ya kitoto
Pichani ni mikoko yenye afya katika eneo linalosimamiwa Bagamoyo, na isiyo na afya katika kijiji cha Mdimni, Mkuranga nchini #Tanzania. Mikoko hii imeathiriwa na shughuli za wanadamu na mabadiliko ya tabianchi, na kusogea kwa maji ya bahari.