Natural Viagra inaniadhirisha

Natural Viagra inaniadhirisha

Mjomba wangu umezingua .Ungeenda hivyo hivyo na tumbo lako la kuhara kila ukiharisha unamuita lamama aje kukutawaza .Si unajua tena mapenzi ni ubunifu.
Mkuu tumbo la kuhara huondoa hisia za kusex
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Wakuu.
Kuna demu nampenda sana. So huku na huku kwa mara ya kwanza akanipromise leo. Maana kuanzia kesho anasepa kwenda chuo.. So leo ntakula kwa mara kwanza. Sasa sitaki kuwaangusha nkasema ngoja nijiweke fresh kwa ajili ya game.

Jana alivoconfirm kuwa leo tunaonana basi nkapitia nyuzi kadhaa za humu, nkajua kumbe kuna viagra za asili kutoka kwenye misosi. Kila mtu akawa anatoa list ya vyakula tofauti tofauti.

Wengine wanasema bamia za kutosha, wengine chai ya tangawizi na mchai chai, wengine vitunguu swaumu, nk.

Nkaona wananichanganya nkaamua kuchanganya kila kitu walichosema. So jana jion nkaenda sokon. Nkanunua bamia, tangawizi, mdarasin, asali, swaumu, tende na habit soda. Ile jion jana nkaadaa mazaga nkachemsha kwa pamoja then nikala.

Weee kuanzia saa tisa usiku nkastuka tumbo linaumaa kichizi.. Nikawa nahara kutoka muda huo mpaka sasa mida ya appointment imekaribia nahara kinoma... Nna wasi wasi nilikamia game then naenda kuaibika kule...

Updates.
Kuna jamaa akanambie nenda pharmacy wakupe dawa ya kuzuia kuhara. Nikaenda pharmacy nkapewa dawa fulan. Uzuri muuzaji nilimkuta nshkaji mmoja namshukuru sana. Then akanishauri niikinywa hizo dawa zitakata kihara ila hakikisha unakula vizur vizuri niende kwenye appointment. Akanishauri kishkaji vitu vya kula. Since sijala since morning nkanywe uji au ninywe chai na korosho. Me nkala korosho na chai yenye tangawizi na mdarisin. Then tumbo likikaa vzuri nitafute chakula cha uhakika. Me nkapata supu ya samaki mkubwa nkala na chapati. Then nkaenda venue kumsubiri mpenzi. Mpenzi alikuja na tulienjoy fresh kama hakuna kilichotokea. Nikapiga zangu goli mbili saafi. From saa kumi jion tukaachana saa moja tukiwa happy..

Hukutoa uharo wakat unafika kirereniiimaana mwili kukakamaa na kuharisha havipatani
 
Updates.
Kuna jamaa akanambie nenda pharmacy wakupe dawa ya kuzuia kuhara. Nikaenda pharmacy nkapewa dawa fulan. Uzuri muuzaji nilimkuta nshkaji mmoja namshukuru sana. Then akanishauri niikinywa hizo dawa zitakata kihara ila hakikisha unakula vizur vizuri niende kwenye appointment. Akanishauri kishkaji vitu vya kula. Since sijala since morning nkanywe uji au ninywe chai na korosho. Me nkala korosho na chai yenye tangawizi na mdarisin. Then tumbo likikaa vzuri nitafute chakula cha uhakika. Me nkapata supu ya samaki mkubwa nkala na chapati. Then nkaenda venue kumsubiri mpenzi. Mpenzi alikuja na tulienjoy fresh kama hakuna kilichotokea. Nikapiga zangu goli mbili saafi. From saa kumi jion tukaachana saa moja tukiwa happy..
Ulikojoza shemeji, au tumtafute tukusaidie?
 
ziwa la moto jehanam inakusubiri ndugu acha uasherati, uzinzi ni dhambi mbaya sana.
 
Kuna uzi humu jamaa anashauri wenzie wanywe glass mbili za juice ya ukwaju uliolowekwa (siyo juice ya viwandani) kabla ya game.

Waliojaribu na hii lazima walihara!
Ha haha...
 
Back
Top Bottom