Natural Viagra inaniadhirisha

Natural Viagra inaniadhirisha

Haya wewe endelea kupiga mechi bila kula km hujakimbiwa, nazungumzia kula sio habari zako hizo za kubisha bisha unabishia ujinga kutaka ligi za kitoto alafu naweza nikawa nabishana na toto lina miaka 10 limechukua simu ya Mama yake linachat ngoja nikuache maana mitandaoni huku kila mtu anataka kujifanya expert kumbe chenga tu
Sasa kwa nini upige mishe bila kula? Whatever, bado hakuna aibu, aibu ni tafsiri yako wewe. Nini maana ya aibu?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu.
Kuna demu nampenda sana. So huku na huku kwa mara ya kwanza akanipromise leo. Maana kuanzia kesho anasepa kwenda chuo.. So leo ntakula kwa mara kwanza. Sasa sitaki kuwaangusha nkasema ngoja nijiweke fresh kwa ajili ya game.

Jana alivoconfirm kuwa leo tunaonana basi nkapitia nyuzi kadhaa za humu, nkajua kumbe kuna viagra za asili kutoka kwenye misosi. Kila mtu akawa anatoa list ya vyakula tofauti tofauti.

Wengine wanasema bamia za kutosha, wengine chai ya tangawizi na mchai chai, wengine vitunguu swaumu, nk.

Nkaona wananichanganya nkaamua kuchanganya kila kitu walichosema. So jana jion nkaenda sokon. Nkanunua bamia, tangawizi, mdarasin, asali, swaumu, tende na habit soda. Ile jion jana nkaadaa mazaga nkachemsha kwa pamoja then nikala.

Weee kuanzia saa tisa usiku nkastuka tumbo linaumaa kichizi.. Nikawa nahara kutoka muda huo mpaka sasa mida ya appointment imekaribia nahara kinoma... Nna wasi wasi nilikamia game then naenda kuaibika kule...

Updates.
Kuna jamaa akanambie nenda pharmacy wakupe dawa ya kuzuia kuhara. Nikaenda pharmacy nkapewa dawa fulan. Uzuri muuzaji nilimkuta nshkaji mmoja namshukuru sana. Then akanishauri niikinywa hizo dawa zitakata kihara ila hakikisha unakula vizur vizuri niende kwenye appointment. Akanishauri kishkaji vitu vya kula. Since sijala since morning nkanywe uji au ninywe chai na korosho. Me nkala korosho na chai yenye tangawizi na mdarisin. Then tumbo likikaa vzuri nitafute chakula cha uhakika. Me nkapata supu ya samaki mkubwa nkala na chapati. Then nkaenda venue kumsubiri mpenzi. Mpenzi alikuja na tulienjoy fresh kama hakuna kilichotokea. Nikapiga zangu goli mbili saafi. From saa kumi jion tukaachana saa moja tukiwa happy..
Taabu zote hizo kisa bao mbili.

Acha zinaa.
 
...umempaka shombo binti wa watu na vigoli vyako vya kijiko cha chai halafu unamsemea mme-enjoy.!
 
Watoto wengi sana JF.
 
Mjomba wangu umezingua .Ungeenda hivyo hivyo na tumbo lako la kuhara kila ukiharisha unamuita lamama aje kukutawaza .Si unajua tena mapenzi ni ubunifu.
 
Haujakutana na hio hali Mzee mtoto anataka uchomeke alafu Chuma kinagoma kusimama usifanye mchezo na njaa yaan ubongo haujashiba unataka uufanyishe kazi ngumu?

Ni aibu aibu aibu inabidi ule ukifanya hivyo na hio hali ikikukuta mwenzako kashapata mshawasha anakwambia muweke we unamletea habari zako eti haisimami shida nini hujala kitu

Wewe subiri yakukute kwanza utakavyodharirika yaan unaishia kuitazama tu na walivyowashenzi akishagundua chuma imelala yoo ndio anajifanya amekolea
Umeongea kwa uchungu sana mkuu
 
Umeongea kwa uchungu sana mkuu
Vijana hawajui hilo wengine hali hio ikiwapata wanakimbilia Madawa ya nguvu za kiume kumbe nguvu ipo kwenye chakula na vinywaji yaan matunda, nyama, snacks, nuts, Mbogamboga, shurubati, nk sasa mtu anaenda kulinduana na mtu heavyweight alafu hajala chochote ni balaa
 
Silmet citrate 50mg Huwa inasadia kutibu tumbo
IMG_20231114_091502_453.jpg

Blue Pills 🔵 hizi mkuu nimekuwekea na picha kabisa nikiwa kama mdau wa afya MWANDAMIZI senior.

Hizi ni booster za wale wanao hisi kupungukiwa nguvu za KIUME
 
Yote ya yote usiombe ukiwa kwenye game alafu MSURI wa paja ukushike... kmk!
 
Back
Top Bottom