Natural Viagra inaniadhirisha

Natural Viagra inaniadhirisha

Palivyokucha ungetafuta dawa ya kukata kuhara.
Siku nyingine jiamini sio lazima utumie ma booster
Mfarijini tu. Demu mwenyewe kamuahidi ataenda kwake. Ila hajaconfirm kama atavua kyupi chake. Haingii ndani,mtakaa kwenye mkeka pale nje chini ya mnazi. Ungeomba mababu zako basi nazi impige kichwani aingie ndani kusikilizia maumivu ukabake huko. Saadeki
 
Sio kujiamini tu unaweza ukajiamini tumboni kumejaa upepo hutoboi yaan aibu utakayoipata utajuta kwanini ulilala na Mwanamke wakati ukiwa haujatia kitu tumboni,

Mwambie ale ashibe karanga, korosho na juice ya nanasi, akimaliza hapo anatulia kidogo anashushia na maji hapo gemu bado kabisa, anavuta ugali wa dona na kuku wa kukaanga Nusu au akiweza mzima kabisa haakikishe amemaliza wote, akitoka hapo anashushia na chai ya tangawizi iliyomixiwa na mdalasini alafu akiwa nasubiri muda usogee sogee kidogo anavuta Samaki mmoja asie na miba hamle haakikishe amemaliza

Hapo anakua ameshiba tayari kwa kwenda kufanya mashambulizi, gemu hio ni anapiga usiku mzima mpaka kunakucha kikubwa tu awe na carton ya maji makubwa Lita 1.6 kwa ajili ya kupooza injini yanakaa maji 6
Acha porojo... hakuna kitu kinaitwa KUAIBIKA, ni namna unavyochukulia WEWE mwenyewe. Kakuambia nani kuwa ukipiga show mbaya unaaibika? Alikuambia huyo demu wako kuwa umeaibika?

Its all about how you perceive!. Therefore hoja yako naipa uzito wa 0% kwa logic. Hence you scored F!.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
😆😆😆🤪 Haujakutana na hio hali Mzee mtoto anataka uchomeke alafu Chuma kinagoma kusimama usifanye mchezo na njaa yaan ubongo haujashiba unataka uufanyishe kazi ngumu?

Ni aibu aibu aibu inabidi ule ukifanya hivyo na hio hali ikikukuta mwenzako kashapata mshawasha anakwambia muweke we unamletea habari zako eti haisimami shida nini hujala kitu 😆😆😆🤪

Wewe subiri yakukute kwanza utakavyodharirika yaan unaishia kuitazama tu na walivyowashenzi akishagundua chuma imelala yoo ndio anajifanya amekolea 😆
 
Haujakutana na hio hali Mzee mtoto anataka uchomeke alafu Chuma kinagoma kusimama usifanye mchezo na njaa yaan ubongo haujashiba unataka uufanyishe kazi ngumu?

Sasa hapo aibu inatoka wapi? Hakuna lolote, ni perception yako na definiton yako WEWE, ya kuaibika. Its how you perceive.

Ni aibu aibu aibu inabidi ule ukifanya hivyo na hio hali ikikukuta mwenzako kashapata mshawasha anakwambia muweke we unamletea habari zako eti haisimami shida nini hujala kitu

Sasa hapo aibu inakujaje? Neno aibu ni unavyolitafsiri WEWE binafsi. Mbona normal mno! Hakuna cha aibu wala kaka yake aibu.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu.
Kuna demu nampenda sana. So huku na huku kwa mara ya kwanza akanipromise leo. Maana kuanzia kesho anasepa kwenda chuo.. So leo ntakula kwa mara kwanza. Sasa sitaki kuwaangusha nkasema ngoja nijiweke fresh kwa ajili ya game.

Jana alivoconfirm kuwa leo tunaonana basi nkapitia nyuzi kadhaa za humu, nkajua kumbe kuna viagra za asili kutoka kwenye misosi. Kila mtu akawa anatoa list ya vyakula tofauti tofauti.

Wengine wanasema bamia za kutosha, wengine chai ya tangawizi na mchai chai, wengine vitunguu swaumu, nk.

Nkaona wananichanganya nkaamua kuchanganya kila kitu walichosema. So jana jion nkaenda sokon. Nkanunua bamia, tangawizi, mdarasin, asali, swaumu, tende na habit soda. Ile jion jana nkaadaa mazaga nkachemsha kwa pamoja then nikala.

Weee kuanzia saa tisa usiku nkastuka tumbo linaumaa kichizi.. Nikawa nahara kutoka muda huo mpaka sasa mida ya appointment imekaribia nahara kinoma... Nna wasi wasi nilikamia game then naenda kuaibika kule...
Idiot...
 
Hakuna kitu kama hicho. Kila mwanaume anayemudu kusimamisha, na hajihusishi na ushoga (kuingiliwa) ni rijali. Futa hiyo kauli. Aibu ni perception yako mwenyewe.!

Acha kujipa presha.!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Perception? Hivi unaelewa unachokiongea? 😆😆😆 Una matatizo acha kujifariji na utagongewa mpaka ujitundike
 
Acheni kuoa malaya.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Haya wewe endelea kupiga mechi bila kula km hujakimbiwa, nazungumzia kula sio habari zako hizo za kubisha bisha unabishia ujinga kutaka ligi za kitoto alafu naweza nikawa nabishana na toto lina miaka 10 limechukua simu ya Mama yake linachat ngoja nikuache maana mitandaoni huku kila mtu anataka kujifanya expert kumbe chenga tu
 
Dawa ni matikiti ndo unahisi mjomba anachomoka anasimama kwa kasi,ila bila kula huwezi mudu tendo la ndoa na sisi tunaofanya tendo la ndoa mara kwa mara yaani huwezi waza kuhusu show ukipewa anytime unakiwasha tu
 
Hapo kwenye kuhara Sasa ndio tiba yenyewe tena shukuru sana maana hayo uliyokula ni kama tiba yanasafisha mwili baada ya hapo unapata energy Moja ya hatari
Wala usiwe na hofu endelea hadi mwili utakapotulia baada ya hapo kula Wala usiahirishe game nenda hivyo hivyo utafurahia show
 
Sasa hapo aibu inatoka wapi? Hakuna lolote, ni perception yako na definiton yako WEWE, ya kuaibika. Its how you perceive.

Sasa hapo aibu inakujaje? Neno aibu ni unavyolitafsiri WEWE binafsi. Mbona normal mno! Hakuna cha aibu wala kaka yake aibu.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
ebo! we jizime data! ila you have been warned bro
 
Back
Top Bottom