Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Unaanza kuchachuka Ostadhat😂Kuna msanii aliimba
"Unashindana na ulipotoka una akili wewe?"
Unaanza kuchachuka Ostadhat😂Kuna msanii aliimba
"Unashindana na ulipotoka una akili wewe?"
Acha uongo wewe. Maziwa na samaki ni sumu?Kuwa makini Kuna vyakula ukichanganya ni sumu utakuja kufa siku Moja,kwa mfano maziwa na samaki,au karanga mbichi na mihogo mibichi nk
Kavile kwa pamoja uone utakavyoharishaAcha uongo wewe. Maziwa na samaki ni sumu?
Kwahiyo wale kina mama barabarani huwa wanauza sumu. Maana utakuta anauza mihogo mibichi na karanga mbichi.Kuwa makini Kuna vyakula ukichanganya ni sumu utakuja kufa siku Moja,kwa mfano maziwa na samaki,au karanga mbichi na mihogo mibichi nk
Hivyo tumekua tukivila na havijatupa madhara, sasa sijui ana maanisha nini kusema ni sumu.Acha uongo wewe. Maziwa na samaki ni sumu?
😂😂😂Unaanza kuchachuka Ostadhat😂
Sio kujiamini tu unaweza ukajiamini tumboni kumejaa upepo hutoboi yaan aibu utakayoipata utajuta kwanini ulilala na Mwanamke wakati ukiwa haujatia kitu tumboni,Siku nyingine jiamini
Sasa ukisikia ya sirini ya dpw utaliakuna mdanitabidi tukubali tu DP WORLD wachukue bandali. sio kwa mawazo haya.
No , hii kazkazKuna uzi humu jamaa anashauri wenzie wanywe glass mbili za juice ya ukwaji uliolowekwa (siyo juice ya viwandani) kabla ya game.
Waliojaribu na hii lazima walihara!
Kuna Vyakula hutakiwi kuvichanganya ukichanganya vinakurudi,Acha uongo wewe. Maziwa na samaki ni sumu?
tupe yasirini kiongozi.Sasa ukisikia ya sirini ya dpw utalia
Unataka kumuua?Kunywaa k vant ndogo utapona.
Ni ajabu sana kijana huna uwezo wa tendo alafu unataka madem. Lishe huna alafu unataka ndani ya siku moja ule vitu vikupe nguvu akili yako ikapimwe aseeWakuu.
Kuna demu nampenda sana. So huku na huku kwa mara ya kwanza akanipromise leo. Maana kuanzia kesho anasepa kwenda chuo.. So leo ntakula kwa mara kwanza. Sasa sitaki kuwaangusha nkasema ngoja nijiweke fresh kwa ajili ya game.
Jana alivoconfirm kuwa leo tunaonana basi nkapitia nyuzi kadhaa za humu, nkajua kumbe kuna viagra za asili kutoka kwenye misosi. Kila mtu akawa anatoa list ya vyakula tofauti tofauti.
Wengine wanasema bamia za kutosha, wengine chai ya tangawizi na mchai chai, wengine vitunguu swaumu, nk.
Nkaona wananichanganya nkaamua kuchanganya kila kitu walichosema. So jana jion nkaenda sokon. Nkanunua bamia, tangawizi, mdarasin, asali, swaumu, tende na habit soda. Ile jion jana nkaadaa mazaga nkachemsha kwa pamoja then nikala.
Weee kuanzia saa tisa usiku nkastuka tumbo linaumaa kichizi.. Nikawa nahara kutoka muda huo mpaka sasa mida ya appointment imekaribia nahara kinoma... Nna wasi wasi nilikamia game then naenda kuaibika kule...
Mkuu karanga na mihogo nimekula sana hakuna shida yeyoteKuwa makini Kuna vyakula ukichanganya ni sumu utakuja kufa siku Moja,kwa mfano maziwa na samaki,au karanga mbichi na mihogo mibichi nk
