Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,371
- 2,832
Naombeni msaada wenu wadau, wa kufahamishwa ni Red Wine gani ambayo ni Tamu by Taste....ni muda mrefu nimekuwa nikitafuta "Red Wine ambayo ni Sweet" ili iwe kinywaji changu coz Sipendi vinywaji( vyenye Alcohol) ambavyo ni vichungu,
I prefer more Sweet Red Wine..
Thanks in Advance.
I prefer more Sweet Red Wine..
Thanks in Advance.