Tz hii kitu ipo kweli, pamoja mkuu
Labda hao twiga tu
Nkajua mambo ya ulimbwende!!!!
hahaahaha kumbe uoto wa asili
ukisia majanga ndio haya sasa,hahahaaaaaaaa,lugha hiziiiii...Nkajua mambo ya ulimbwende!!!!
ukisia majanga ndio haya sasa,hahahaaaaaaaa,lugha hiziiiii...
Shida ni kuwa OLESAIDIMU alianza kusoma huku akiwa anawawaza walimbwende kichwani
Mi mwenyewe ni mdau...!!!
Nkajua mambo ya ulimbwende!!!!
Ingekuwa bustani hizi zipo hapa bongo basi tungezigeuza sehemu za kuuzia bangi na maficho ya vibaka tena mida za usiku