Natural Attractions in Kenya and Tanzania

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
63,466
88,825
Lake Natron Tanzania
Lake Natron.jpg


Mt Kilimanjaro (from Kilimanjaro West/Mkomazi /Arusha National Parks Tanzania
Kili.jpg


Oldonyo Lengai Mt (Mt of God for Massais in EA) spitting fire Tanzania

Oldoinyo.jpg


Thanda Private Island Mafia Tanzania
363552-thanda-island-aerial.jpg


The snow cap of Mt Kilimanjaro Tanzania

Amboseli-National-Park_Kilimanjaro-snow-cap2.jpg


The Serengeti (endless plains) Tanzania
0c3003d4fed740cc115e7acb54bbac0b.jpg


Udzungwa water falls Tanzania

Udzungwa-Natianal-Park.jpg


Kalambo waterfalls Tanzania

Kalambo.jpg


Ngorongoro crater Tanzania

highlands-ngorongoro-empakai-crater-hr3-1.jpg


Ngorongoro crater Tanzania

ngorongoro_crater_view.jpg


Bismack Rock Mwanza Tanzania

Bismack.jpg
 
Hahahaha kwani za Kenya ni Artificial? Geza hebu weka za Kenya pia tuone ama its one sided show off?
 
Chemka hot spring, hii ipo kilometer 40 ukitokia Moshi mjini Kuelekea Arusha kwa njia ya Barabara. chemchem hii imechukua jina la kijiji iliyopo. Maji yake ni ya uvuguvugu na masafi sana, yametengeneza bwawa zuri lililo chini ya miti, bwawa hili lina kina cha mita saba (7)

Iwe wewe ni Mtanzania au Mtalii wa nje njoo hapa and you ll have the time of your life.
#FoundInTanzaniaNotKenya

ImageUploadedByJamiiForums1457435551.640073.jpg
 
Chemka hot spring, hii ipo kilometer 40 ukitokia Moshi mjini Kuelekea Arusha kwa njia ya Barabara. chemchem hii imechua jina la kijiji iliyopo. Maji yake ni ya uvuguvugu na masafi sana, yametengeneza bwawa zuri lililo chini ya miti, bwawa hili lina kina cha mita saba (7)

Iwe wewe ni Mtanzania au Mzungu njoo hapa and you ll have the time of your life.

View attachment 328185
Malizia #FoundInTanzaniaNotKenya
 
Sielewi mbona mleta mada ameandika Kenya vs tz kwenye kichwa cha mada. Mimi naona natural attraction za tz tu. Zinavutia kweli,lakini mleta mada amekosea, kichwa cha uzi kingefaa kuwa Natural Attractions in Tanzania. Hio ingekuwa imetosha tu!
 
Chemka hot spring, hii ipo kilometer 40 ukitokia Moshi mjini Kuelekea Arusha kwa njia ya Barabara. chemchem hii imechua jina la kijiji iliyopo. Maji yake ni ya uvuguvugu na masafi sana, yametengeneza bwawa zuri lililo chini ya miti, bwawa hili lina kina cha mita saba (7)

Iwe wewe ni Mtanzania au Mzungu njoo hapa and you ll have the time of your life.

View attachment 328185
Wakenya, Waganda na warwanda hujawaalika watembee Chemka Hotsprings, ni wazungu tu?Acha ubaguzi, mtalii ni mtalii tu bora hela anatoa.
 
Sielewi mbona mleta mada ameandika Kenya vs tz kwenye kichwa cha mada.Mimi naona natural attraction za tz tu.Zinavutia kweli,lakini mleta mada amekosea,kichwa cha uzi kingefaa kuwa Natural Attractions in tanzania.Hio ingekuwa imetosha tu!
Kwahiyo mimi nikubandikie attraction zenu? Una wazimu! A truly lazy-ass indeed
 
Back
Top Bottom