Natoka mwanza (rock city)

DearJohn

Member
Mar 23, 2011
33
5
Habari yenu wana jamii forums , Mie ni miongoni mwa watu ambao ni wenyeji wa mkoa wa Mwanza na ni mda mrefu kwa kweli sijaenda nyumbani. hivyo nime amua kutengeneza special group kwenye facebook ambayo inaitwa NATOKA MWANZA (ROCK CITY) kwa ajili ya watu wanao tokea mwanza ili tuweze kupashana habari mbali mbali. kujiunga na hii group kwanza kabisa nenda www.facebook.com kisha jiunge.pale juu kabisa kwenye sehemu iliyoandkwa search andika NATOKA MWANZA (ROCK CITY) halafu itatokea hiyo group kisha juu sehemu ya kulia utaona sehemu imeandikwa Ask to join. Nawakaribisha wote. na pia ninge penda iwe changa moto kwa watu wa mikoa mingine yote.
 
Habari yenu wana jamii forums ni mio, Mie ngoni mwa watu ambao ni wenyeji wa mkoa wa Mwanza na ni mda mrefu kwa kweli sijaenda nyumbani. hivyo nime amua kutengeneza special group kwenye facebook ambayo inaitwa NATOKA MWANZA (ROCK CITY) kwa ajili ya watu wanao tokea mwanza ili tuweze kupashana habari mbali mbali. kujiunga na hii group kwanza kabisa nenda www.facebook.com kisha jiunge.pale juu kabisa kwenye sehemu iliyoandkwa search andika NATOKA MWANZA (ROCK CITY) halafu itatokea hiyo group kisha juu sehemu ya kulia utaona sehemu imeandikwa Ask to join. Nawakaribisha wote. na pia ninge penda iwe changa moto kwa watu wa mikoa mingine yote.
Nenda nyumbani kwanza uwaone wazee upate na baraka zao sio kushinda mitandao na hata hujawaona wazee siku kibao
 
Nenda nyumbani kwanza uwaone wazee upate na baraka zao sio kushinda mitandao na hata hujawaona wazee siku kibao
sawa sawa Ila walikuwa dar mda si mrefu, na nitaenda baada ya miezi miwili. nakushukuru sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom