kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,628
- 1,786
Kila nikipiga unaniambia call barring msaada mwenye ujuzi sijui shida nini
Hio njia ilinisaidia sana niliweka vinamba flani hivi nikaweza funga laini zangu nisipigiwe kutoa ilikua mtihani mkubwa.njia rahisi ni kutafuta simu ya tochi then nenda setting halafu security au call setting utaiona hio barring, ieke off.
Mkuu inanigomea tu nikirequest inaonesha call barring#34*0000#
Kumbuka hizo 0000 ni kama hujaweka pin kwenye line narudia tena pin kama umeweja pin badala ya zeros weka pin yako hapo.
Nikirequest inaonesha call barringnjia rahisi ni kutafuta simu ya tochi then nenda setting halafu security au call setting utaiona hio barring, ieke off.