Natoaje call barring? Kwenye lain ya eatel msaada jaman

njia rahisi ni kutafuta simu ya tochi then nenda setting halafu security au call setting utaiona hio barring, ieke off.
 
njia rahisi ni kutafuta simu ya tochi then nenda setting halafu security au call setting utaiona hio barring, ieke off.
Hio njia ilinisaidia sana niliweka vinamba flani hivi nikaweza funga laini zangu nisipigiwe kutoa ilikua mtihani mkubwa.
Wewe ndiwe uliyenisaidia hakika Mungu akuzidishie.
 
#34*0000#
Kumbuka hizo 0000 ni kama hujaweka pin kwenye line narudia tena pin kama umeweja pin badala ya zeros weka pin yako hapo.
 
Back
Top Bottom