Natoa zabuni ya kutengeneza banda la kuku

Natoa zabuni ya kutengeneza banda la kuku

akidai

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
262
Reaction score
52
Zabuni ya kuandaa banda la kuku 1000 broiler

Mwenye ujuzi elekezi wa kuandaa na gharama zake ajitokeze hapa sawa?
 
Mtafute member mmoja ivi anaitwa Gugudume mimi alinitengenezea banda langu
 
Zabuni ya kuandaa banda la kuku 1000 broiler

Mwenye ujuzi elekezi wa kuandaa na gharama zake ajitokeze hapa sawa?
Juzi ulikuwa unatafuta MTU Wa kuhudumia
Kuku 1000,kumbe hata banda lenyewe bado. Au unataka kuongeza wafike 2000...anyway nakutakia mafanikio mema.
 
Zabuni ya kuandaa banda la kuku 1000 broiler

Mwenye ujuzi elekezi wa kuandaa na gharama zake ajitokeze hapa sawa?
Gharama itategemeana na mambo ya fuatayo:
1.location
2.Plot unayojenga ikoje. Mfano tambalale au slop? Plot ni safi au ni msitu?
3. Durability ya banda.unataka LA kudumu mda mrefu au LA mda mfupi

Ukiyaweka hayo kwenye bandiko lako ni rahisi kutupata Wa taalam
 
Back
Top Bottom