Kazi imenyooka.
Kampuni gani nzuri na yenye ubora hasa ktk eneo la kutopauka kwa bati na bei iwe ya kizalendo
Kampuni zote zina bati OG na feki, kuna waru wawili walipaua bati kampuni moja ila mmoja lishapauka mwingine linadunda halijapauka,, so Bati ni kubahatisha tu siku kiwandani kuna materials gani... maan hata wao wanapigwa huko wanapoagiza sheets za mabatiKampuni gani nzuri na yenye ubora hasa ktk eneo la kutopauka kwa bati na bei iwe ya kizalendo