stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 604
- 1,236
Habari fatilia hapa kuhusu misumari ya bati
Safi sana mkuu na je unaweza kuchanganya misumari ya rangi?
Hivi hamna jina la kitaamu la hizi batibati la msauzi
Hahahahaha lipoHivi hamna jina la kitaamu la hizi bati
Zinaitwa IT5 au IT4 inategemea na bati lina valleys ngapi, hiyo 4 na 5 inawakilisha idadi ya valley (valley ni sehemu ya bati ambayo maji ya mvua yanapita)Hivi hamna jina la kitaamu la hizi bati
IT 5Hivi hamna jina la kitaamu la hizi bati