isifiwe google na kuheshimiwa milele! bila google ningejuaje kama we rijali wallah! heshima yako mkuu!Mkuu @Aspirin umeona eeh . . . . halafu pesa yako mbona umma wote wa JF ulishatangaziwa kuwa pesa yako anayo @Maxence au Mike McKee. Mbona The Boss na Lizzy walishachukua. Kama vipi waambie wahusika pesa yako iwe converted uwe Premium Member . . . lol.
Afu mkuu taratibu mimi nimeambiwa ni rijali . . .
Sikia Roulette popote pale ulipo. Siitaki Like yako wala Reputation power. Mara ya mwisho Like yako ilinikwaza nikatenda dhambi. Nani anataka Like yako kipindi hiki cha mfungo ambapo haturuhusiwi kufanya mapenzi na sabuni?
Ukinipa LIKE yako nakuweka kwenye ignore list yangu. Jaribu uone............. Utafiti umeonyesha watu wote walio kwenye ignore list ya ODM wana roho mbaya kama kiatu cha Mugabe kiasi kwamba siku ya Hukumu, malaika wataomba likizo ikifika zamu yake kuhukumiwa.
Baada ya kusema hayo, nakukaribisha tufuturu na Mama Abadallah leo jioni nyumbani kwangu Khartoum.
Wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA, leo mna kazi ya kumhudumia msimamizi wenu Kongosho. Nimemwacha anatapikia mdomo wa chini. Sijui alikula nini jana Yailahi toba??
Kwaherini nyote.
Amina, amina, amina! Asante sana ndugu yangu, kweli upendo unashinda yote. Asante sana!Roulette asante sana na kweli naamini unapendwa sio kidogo maana kila mmoja anaitamani hiyo like yako ya 5000
Sio kwamba unapenda tuu kuzitoa ila nmaamini wapo watu ambao wanakufurahisha na post zao na ambao wanajua wanaandika nini kwa wakati gani na kwa nini
Uwe na moyo huo wa kupenda na kupendwa maana ndio nguzo kuu itakufanya uendelee kuyaona maisha mazuri kwa wakati wote huku tabasam lisiishe usoni mwako hata katikati ya majaribu na huzuni maana naamini yuko mmoja tuu ayashindaye yote hayo yaani Allah
I would've be more reative if I knew what turns you on...umesema kama posti ikikufurahisha,vitu gani vinakufurahisha?kama uko single mi nasilim!lol!
Hahahahaha, kwa roho yangu ya uharibifu naweza nikugongee like just kuharibu swaum yako. hahahaha
Kuna forum fulani nilitembelea nikakuta mtu ana avatar kama yako, wacha nianze kumpigia kelele nikidhani ni wewe: ODM, ODM, niko pande hii! Kumbe ni mwanamke, tena kibibi. hahahaha
Salama lakini?
Wazima wote, tunamshukuru Mungu. Unaendeleaje dada? Hii like tumpe nani hivi?
Roullete kumbe na wewe nikiruka njia kwenye hizo forums zingene!.. Jf ni kila kitu bana! usirudie tena..
Mie nitapenda zaidi kama litafanikiwa kuchaguliwa kuweza jibiwa. Jibu lake ni muhimu kwangu. Shukrani kwa link Roulette. Hio like mbona kama unabania jamani? nimeona post nyingi humu zilistahili hio Like hasa hii post inayo hoji hapa. hahaha
Like imesha tolewa mpenzi, but you will get the 6000, inshallah.
rushwaaaaaaaaaaaaaaaa: