Natoa Elimu ya ujasiriamali

Natoa Elimu ya ujasiriamali

Je, ni wangapi humu wagependa somo la ujasiriamali?

Najiandaa kuandaa somo hilo, humu jamvini, hasa kwa wamiliki wa biashara ndogondogo na wajasiriamali.

Somo litahusu taratibu mbalimbali muhimu zinazohitajika kuandaa na kusimamia biashara ndogo.

Natayarisha pia, mwongozo utakaoelezea hatua sahihi za kutengeneza mpango kazi wa kujenga na kuimarisha biashara, ikiwa ni pamoja na matumizi sahihi ya masoko ya mtandao na kuandaa mikakati ya usimamizi bora.

Nasubiri mahitaji kutoka kwenu wanaJF.
Mkuu
Wazo lako ni zuri. Jitahidi ujikite katika kuanza kutoa elimu kuliko kukubali kutolewa kirahisi katika lengo!
Naamini kadiri utakavyokuwa waendelea kutoa elimu hii utaeleweka
 
SOMO LA KWANZA: JINSI YA KUANZA UJASIRIAMALI

Salaam wanaJF. Somo la ujasiriamali nitaliwasilisha kwa njia ya maswali ili wataalamu wengine na wajasiriamali tubadirishane elimu na uzoefu.

SWALI: Ujasiriamali ni nini na mjasiriamali ni nani?
 
SOMO LA KWANZA: JINSI YA KUANZA UJASIRIAMALI

Salaam wanaJF. Somo la ujasiriamali nitaliwasilisha kwa njia ya maswali ili wataalamu wengine na wajasiriamali tubadirishane elimu na uzoefu.

SWALI: Ujasiriamali ni nini na mjasiriamali ni nani?
Nilisema tangu awali watu hawawezi kuwa interested sababu hujawashawishi kwa wasifu wako, watu wanataka practical siku hizi theory za kwenye vitabu sijui ujasiriamali ni nini ulishawachosha watu kitambo... Weka wasifu mezani kuwa ulifanya a, b, c ukapitia njia hii, ukafeli hapa ila ukajifunza hiki etc etc trust me huu uzi ungekua page ya mbali tu... What is entrepreneurship is a total bullshit kwa mtu mwenye familia, mwaga ujuzi mezani nitakuunga mkono
 
Back
Top Bottom