Natoa Elimu ya ujasiriamali

Natoa Elimu ya ujasiriamali

Wewe ni mmojawapo unahitaji sana elimu ya ujasiriamali.
wacha kuchekesha, umenikumbusha nyimbo ya YAMOTO BAND

kwamba UNA NINI? Nina Rambo

Wewe uko levo gani? anza kuelezea biashara yako

Kila mtu kudown load mafundishilo na kuweka hapa inawezekana.

kabla hujaaanza elezea wewe unafanya nini?
Kuna watu huwa wanasema wanatoa elimu za ujasiriamali ila wao hata kumiliki kibanda cha kuchajia simu wanaogopa
 
si kweli mkuu,kupenda unaweza kufundishwa,waulize wale waliokua wana maumivu ya moyo,either kutokana na kuachwa au kushuhudia uovu kwa wanandoa,kuna counselling/therapy kibao zinafanywa kuurudisha moyo na kuanza kupenda tena.Huoni jukwaa la MMU linasaidia watu?lol
Kinacho fundiahwa ni jinsi ya kuboresha mapenzi.
Hivi nikuulize unaweza kwenda kozi ya jinsi moyo wako utakavyo funguka umpende Jeni?

Let say umeambiwa sasa tunakupeleka chuo na ukihitimu basi lazima umpende Jeni
 
wacha kuchekesha, umenikumbusha nyimbo ya YAMOTO BAND

kwamba UNA NINI? Nina Rambo

Wewe uko levo gani? anza kuelezea biashara yako

Kila mtu kudown load mafundishilo na kuweka hapa inawezekana.

kabla hujaaanza elezea wewe unafanya nini?
Kuna watu huwa wanasema wanatoa elimu za ujasiriamali ila wao hata kumiliki kibanda cha kuchajia simu wanaogopa

,kuna wengine hawajui kutumia mitandao na hapa JF ndipo mahali pa kujifunza.......

kwa nini umekuwa negative kabla hata hajaandika neno ?? mkuu uko poa????
 
Mkuu samahani wewe unamiliki biashara? Na je ni micro, small, medium au large? Bila shaka kama umepitia SMEs utakua umenielewa, na kama ndio unamiliki biashara ni ya namna gani na una muda gani katika hiyo biashara?
Nasema hayo sababu nipo pande zote wakati nipo chuo nilisoma ujasiriamali kwa upana ukijumlisha na hiyo SMEs na pia kumiliki biashara na what I know waalimu wengi wa ujasiriamali ni theory tupu hawana courage ya kumiliki biashara from the scratch and see it growing...
Sasa wewe upo kundi gani?
 
Dada I say kama huna passion asikudanganye mtu.

kama huna commitment asikudanganye mtu

Kama hujawa tiyari kutake risk asikudanganye mtu

kwanza kana jikane, anza wewe kujikana kwa hali uliyo nayo sasa.

Ukisha jikana sasa tafuta elimu ya biasara au ujasirimali

usha jikana?.umekana mazingira ulio nayo sasa?
 
Mkuu samahani wewe unamiliki biashara? Na je ni micro, small, medium au large? Bila shaka kama umepitia SMEs utakua umenielewa, na kama ndio unamiliki biashara ni ya namna gani na una muda gani katika hiyo biashara?
Nasema hayo sababu nipo pande zote wakati nipo chuo nilisoma ujasiriamali kwa upana ukijumlisha na hiyo SMEs na pia kumiliki biashara na what I know waalimu wengi wa ujasiriamali ni theory tupu hawana courage ya kumiliki biashara from the scratch and see it growing...
Sasa wewe upo kundi gani?
akikujibu nipigie simu
 
Kinacho fundiahwa ni jinsi ya kuboresha mapenzi.
Hivi nikuulize unaweza kwenda kozi ya jinsi moyo wako utakavyo funguka umpende Jeni?

Let say umeambiwa sasa tunakupeleka chuo na ukihitimu basi lazima umpende Jeni

mmmmmmmmm counsellours na ma therapist wanafundisha kupenda tena,mkuu jiongeze ...........

chuo cha mapenzi hakuna(may be kipo somewhere,lol)....ila mbona hujiulizi vyuo vya biashara vipo mamilioni while vya mapenzi hakuna? hii ikupe picha kuwa unalinganisha vitu tofauti...
 
The point anayoiainisha ni kuwa somo la ujasiriamali probably wengi sana tumefundishwa, let's assume kila mwaka wanafunzi zaidi ya laki 4 wanafundishwa ujasiriamali ila out of all yawezekana hawazidi hata 100 ambao wanajiajiri ndio maana hata hao lecturers waliotufundisha ujasiriamali vyuoni wao wenyewe wameajiriwa na hizo taasisi wanakinga mkono kila mwezi mshahara then wanatufundisha kujiajiri "nonsense"... Kufundishwa ujasiriamali ni jambo moja ila passion ya kufanya ni jambo lingine... That's why nimemuuliza mleta uzi hapo juu anipe majibu yeye yupo kundi gani
 
siwezi kuelesa sana, ila ni kwamba hata ukiwa Made still lazima itoke rohoni mwako.

Passion.passion inatoka moyoni mwako kama huna ni haiwezekani.

watu nyie mnachanganya business skills au Entreprenership skills na Entrepreneurs.

Usichanganye kamwe vitu hivi
-Business skills/ Entrepreneurship skills

Na Entrepreneurs

Kuna ujasiriamali, kama taaluma, ina misingi yake na sifa za mjasiriamali. Vitu hivyo viwili (elimu na sifa) ndivyo humfanya mtu kuwa mjasiriamali.

Kwa maana hiyo unaweza kuwa na elimu ya ujasirimali usiwe mjasiriamali. Vivyo kuwa na sifa za ujasiriamali hakuwezi kukufanya ukawa mjasiriamali.

Tuwe na subira kupata somo kwa walio tayari, wengine watapita tu. Ila sintopoteza muda wangu kufunguka humu na hilo somo kama wachache tu watakuwa tayari.
 
wacha kuchekesha, umenikumbusha nyimbo ya YAMOTO BAND

kwamba UNA NINI? Nina Rambo

Wewe uko levo gani? anza kuelezea biashara yako

Kila mtu kudown load mafundishilo na kuweka hapa inawezekana.

kabla hujaaanza elezea wewe unafanya nini?
Kuna watu huwa wanasema wanatoa elimu za ujasiriamali ila wao hata kumiliki kibanda cha kuchajia simu wanaogopa
Wajasirimali hawazaliwi ila kuna watu wana sifa za ujasirimali.

Siasa hata katika elimu, du taifa hili!!
 
mmmmmmmmm counsellours na ma therapist wanafundisha kupenda tena,mkuu jiongeze ...........

chuo cha mapenzi hakuna(may be kipo somewhere,lol)....ila mbona hujiulizi vyuo vya biashara vipo mamilioni while vya mapenzi hakuna? hii ikupe picha kuwa unalinganisha vitu tofauti...
nikujibu kwa mala ya mwisho. wacha kuchanganya kati ya Entrepreneurship skills au Business skills na Entrepreneurs
 
ina maana wanaofundishwa vyuoni somo la biashara,wanapoteza muda?lol
Baada ya kufundishwa wengi wao wako wapi?

Hahaaa tafuta walipo watu wenye Degree za Busineness Adminstration, Business Managment, MBA na kadhalika ndo utajua ninacho ongelea.

we tafuta wanako kwenda wanao maliza hizo kozi za biashara
 
Mkuu samahani wewe unamiliki biashara? Na je ni micro, small, medium au large? Bila shaka kama umepitia SMEs utakua umenielewa, na kama ndio unamiliki biashara ni ya namna gani na una muda gani katika hiyo biashara?
Nasema hayo sababu nipo pande zote wakati nipo chuo nilisoma ujasiriamali kwa upana ukijumlisha na hiyo SMEs na pia kumiliki biashara na what I know waalimu wengi wa ujasiriamali ni theory tupu hawana courage ya kumiliki biashara from the scratch and see it growing...
Sasa wewe upo kundi gani?

Asante kwa kukiri ulifundishwa ujasiriamali na SMEs na umekuwa mfanya biashara. Naamini yasingekuwa masomo hayo usingekuwa mfanya biashara.

Nikukumbushe tu kwamba si kila mfanya biashara ni mjasiriamali. Na si kila mmiliki wa SME ni mjasiriamali. Rejea ulichojifunza kuhusu ujasirimali.

Kwa kuww umepata mafunzo ya ujasiriamali utakuwa msaada kwangu humu JF. Ila inaonekana watu wengi wanajifanya kujua ujasiriamali lakini kumbe sivyo.
 
jubu wewe unajihusisha na nini? wafundishe business skills na sio kuwa wajasirimali.
Nisaidie kutofautisha kati ya business skills na ujasiriamali. Hakika wewe ni mmoja wa wasiojua tofauti ya ujasiriamali na mjasiriamali, hivyo unahitaji kuelimishwa.

Hata aliyezaliwa na kipaji km kucheza mpira hufundishwa. Unasahau kulikuwa na somo la unyago, waita siku hizi 'kitchen party'? Je, wanyama wanafundishana?

Kumbuka ni msaada tu natoa bure wakati ni somo vyuoni kwa kulipiwa.
 
The point anayoiainisha ni kuwa somo la ujasiriamali probably wengi sana tumefundishwa, let's assume kila mwaka wanafunzi zaidi ya laki 4 wanafundishwa ujasiriamali ila out of all yawezekana hawazidi hata 100 ambao wanajiajiri ndio maana hata hao lecturers waliotufundisha ujasiriamali vyuoni wao wenyewe wameajiriwa na hizo taasisi wanakinga mkono kila mwezi mshahara then wanatufundisha kujiajiri "nonsense"... Kufundishwa ujasiriamali ni jambo moja ila passion ya kufanya ni jambo lingine... That's why nimemuuliza mleta uzi hapo juu anipe majibu yeye yupo kundi gani

mmmnh kwa nini sasa mlifundishwa na msiachwe naturally kuwa ma entrepreneur???ina maana mtu anaenda chuo kusoma course asiyo na passion nayo??? mkuu point yenu ni nini?hapa JF ni sehemu pia ya kujifunza,mwacheni adownload,wengine wasiojua ku download watajifunza hapa.........
 
Point moja niweke Sawa maybe wengine hawaelewi "mjasiriamali hazaliwi ila anatengenezwa" whether kwa kufundishwa, kukulia familia ya wajasiriamali like "wachaga" au mazingira aliyopo yanamshape mtu ila sipo kumpinga mleta uzi ila ingepaswa ajitanabaishe kiufasaha kuhusu wasifu wake, amekomaa vipi katika ujasiriamali "kwa vitendo" na si kuleteana theories ambazo zimejaa nyingi huko Google... Wasifu wa mtu waweza mvuta mtu kuwa interested kujifunza kitu

Hujawahi waza kwanini Shigongo akitoa elimu ya ujasiriamali anafuatiliwa na watu? Simply he is practically an entrepreneur na sio theories
 
Back
Top Bottom