Natoa bure shamba la kulima

Nataka mtu akuoimie akusafishie alfu baadae uje umnyanganye ili ulime likiwa limeondolewa visiki acha hzo Lima ,safisha vzr afu mpe mtu

Cha bure hknang huo Ni mtego
Ndiyo tatizo la wabongo wanawaza yaliyo hasi .watu wanakodisha mashamba na wanalima bila was2 wowote .watu wanakodi mashamba,wanasafisha shamba na kulima ,sasa hapa shida ni nn hasa ,??mtu nampa alime bure ??c kodishi ??tatizo nn hasa ??
 
Kitendo Cha kutoa bure ndio shida Bora hata ukodeshe kwa 20 20 Ila swla la kuwpa. Mtu alime bure hkn Ni mtego huo kodosha tu babu uone. Kam Kuna mtu atahoji muhiimu shmba lisafishwa na liwe Safi

Kaz yangu Ni kuja kupitisha trakta au lilime
 
Wewe cyo mkulima .subiri tu tukuletee chakula .hacha wale wanaotaka kulima .mtu atakaye lima mihogo deal kubwa sn .hata gharama zake zote za kusafisha shamba zitarudi na faida juu .shamba linakubari sn mihogo
 
Hongera mkuu kwa moyo wa utu.

Nakushauri tangazo kama hili lipeleke hapo kijijini masaki kwa mwenyekiti wa kijiji najua atatafuta mtu safi alime hapo shambani.

Humu jf hakuna mkulima wote ni wazee wa kazi nzuri, tai shingoni na magari makalmakali, si umeona majibu yao?
 
Nina shamba lingine ndiyo nalima kwa sasa .nguvu ndogo kulima mashamba yote .hii ni fursa kwa yule anayejielewa na ni mkulima .
 
Ushauri wako ni mzuri sn .pale kijiji maeneo yapo mengi shida hakuna wakulima
Hata mtu ukimpa shamba bure la kulima pale kijijin hakuna kiongoz
 
Hongera mkuu kwa moyo wa utu.

Nakushauri tangazo kama hili lipeleke hapo kijijini masaki kwa mwenyekiti wa kijiji najua atatafuta mtu safi alime hapo shambani.

Humu jf hakuna mkulima wote ni wazee wa kazi nzuri, tai shingoni na magari makalmakali, si umeona majibu yao?
Siyo kweli. Wengine tunalimwa mwaka nenda rudi. Kulima hakukuzuii kuvaa tai ndugu yangu.
 
Hongera mkuu kwa moyo wa utu.

Nakushauri tangazo kama hili lipeleke hapo kijijini masaki kwa mwenyekiti wa kijiji najua atatafuta mtu safi alime hapo shambani.

Humu jf hakuna mkulima wote ni wazee wa kazi nzuri, tai shingoni na magari makalmakali, si umeona majibu yao?
Umeniwahi nilitaka kumpa jibu kama hili

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom