Makabidhiano yatakuwa kwa maandishi na mashahidi?Kwanini unampa bure?
Ipo hai kwani?Nyie TISS mna mbinu nyepesi Sana
si kodishi shamba la kulima.mtu anayetaka kulima nampa alime mazao ya mda mfupi kama mihogo ,mahidi .Kwanini unampa bure?
Ndiyo tatizo la wabongo wanawaza yaliyo hasi .watu wanakodisha mashamba na wanalima bila was2 wowote .watu wanakodi mashamba,wanasafisha shamba na kulima ,sasa hapa shida ni nn hasa ,??mtu nampa alime bure ??c kodishi ??tatizo nn hasa ??Nataka mtu akuoimie akusafishie alfu baadae uje umnyanganye ili ulime likiwa limeondolewa visiki acha hzo Lima ,safisha vzr afu mpe mtu
Cha bure hknang huo Ni mtego
Kitendo Cha kutoa bure ndio shida Bora hata ukodeshe kwa 20 20 Ila swla la kuwpa. Mtu alime bure hkn Ni mtego huo kodosha tu babu uone. Kam Kuna mtu atahoji muhiimu shmba lisafishwa na liwe SafiNdiyo tatizo la wabongo wanawaza yaliyo hasi .watu wanakodisha mashamba na wanalima bila was2 wowote .watu wanakodi mashamba,wanasafisha shamba na kulima ,sasa hapa shida ni nn hasa ,??mtu nampa alime bure ??c kodishi ??tatizo nn hasa ??
Siyo kweli. Wengine tunalimwa mwaka nenda rudi. Kulima hakukuzuii kuvaa tai ndugu yangu.Hongera mkuu kwa moyo wa utu.
Nakushauri tangazo kama hili lipeleke hapo kijijini masaki kwa mwenyekiti wa kijiji najua atatafuta mtu safi alime hapo shambani.
Humu jf hakuna mkulima wote ni wazee wa kazi nzuri, tai shingoni na magari makalmakali, si umeona majibu yao?
NakubaliSiyo kweli. Wengine tunalimwa mwaka nenda rudi. Kulima hakukuzuii kuvaa tai ndugu yangu.
Umeniwahi nilitaka kumpa jibu kama hiliHongera mkuu kwa moyo wa utu.
Nakushauri tangazo kama hili lipeleke hapo kijijini masaki kwa mwenyekiti wa kijiji najua atatafuta mtu safi alime hapo shambani.
Humu jf hakuna mkulima wote ni wazee wa kazi nzuri, tai shingoni na magari makalmakali, si umeona majibu yao?