NATO waanza na deni la Trilioni3 Libya

Safi sana Mungu hamfichi mnafiki! hahahah NTC na walibya walisahau " There is no free lunch" hahahaa quid pro quo!
 
kwani kuna agreement kati ya NATO na NTC?
IF YES UNDER WHAT LAW?
makubwa.
 
utawala
mpya wa waasi utalazimika ku-service
deni linalokadiriwa kufikia dola la
Kimarekani Trilioni 3 kama gharama na
hasara ambazo wanachama wa NATO
wameingia kwa kushiriki katika vita vya
kumuondoa Colonel Gaddafi. Gharama
hizo zinahusisha mabomu, makombora
na bunduki na silaha nyingine
zilizotumika katika vita hivyo, gharama
za ndege zake nane zilizoangushwa na
majeshi ya Gaddafi wakati wa
mapambano, pamoja na askari
waliopoteza maisha katika harakati
hizi.
Deni hili kubwa na ambalo litachukua
muda mrefu sana kulilipa, litaathiri kwa
kiasi kikubwa mapato ya mafuta ghafi
ambayo yatakuwa yanasafirishwa na
Libya kwenda nchi za nje. Mpango huu
uliojadiliwa kwa mara ya kwanza miezi
kadhaa iliyopita na uliripotiwa
kupingwa na kiongozi wa waasi wa
wakati huo aliyekuwa akifahamika
kama Yunus na kutokana na msimamo
wake huo aliuawa siku moja baada ya
kueleza msimamo wake huo kwa
viongozi wa NATO. Gharama kama hizi
ziliwahirushwa kwa uongozi mpya wa Iraq
baada ya utawala wa Saddam Hussein
kuanguka na zitaiweka Libya na
wananchi wake waktika wakati mgumu
kwani italazimika kusalimisha pato lake
lote la taifa kwa ajili ya kukidhi
matakwa ya watu hawa ambao wakati
wote wamekuwa wakionekana na
'wakombozi' wa wananchi wa Libya
waliosemekana kuwa katika
ukandamizaji wa utawala wa kiimla na
wakishetani wa Gaddafi. Baada ya
kusherehekea ukombozi huo, sasa
watalazimika kujifunga mikanda ili
kuwaridhisha 'waliowakomboa'!
Swali linalojitokeza ni kwamba, je,
wananchi wa Libya waliridhia mpango
huu ambao sasa unawagharimu? Je,
kwa nini NATO wameonyesha kama vile
walikuwa na nia njema kumbe lengo
lao lilikuwa ni tofauti? Je, hii inaweza
kuwa ndiyo sababu ya wao kuatoingilia
migogoro ya nchi ambazo hazina
rasilimali za kutosha ambazo wanaweza
kuzitumia kulipia gharama zao kama
Somalia, Madagascar na kwingineko?
Waache wauone moto, kwani wajinga ndio waliwao.
 
jembe limeshaondoka hata kama alikuwa na madhaifu lakini amewatendea mengi tatizo binadamu huwa hawakumbuki mema maskini Gaddafi
 
Back
Top Bottom