NATO presents its bill to Libya...

democrasia ina gharama kubwa

Unamaanisha DOMOkrasia?
Kweli DOMOkrasia ni bei mbaya.

Hata illusion ya demokrasia pia ni bei mbaya. Waulize wananchi wa Greece, Spain, UK na wale Occupy Wall Street watakwambia wameshaufahamu usanii wa demokrasia ya ubepari.
 
Inanikumbusha hadithi ya majirani zangu wawili.........mmoja akimdunda sana mkewe kila mara.....mwingine akiwaamulia kama sio kumdunda huyo mume mkorofi....matokeo yake mke analipa fadhila maisha yake yote
 
this is hillarious.... tuanze kusubiri nafasi za kazi za kuijenga upya Libya tu sasa, maana wamelilia wembe, umewachabanga!!!

kweli baniani mbaya kiatu chake dawa
 
Another Iraq teh he he he!! safi sana wacha wajutie bangi zao zilizowatuma kwenye pathetic revolution..
 
Was the amount/basis to bill agreed in advance before NATO involvement?
Maybe, maybe not. Ila nadhani wale spokesman wa hiyo rebel movement (now in power) walienda ulaya kuongea na NATO na wakasign mikataba fulani fulani kwa kusaidiwa. NATO hainge jileta tu hivi hivi, mbona hawaendi yeme au syria? Ila there is no way wangejua kua bill itakua kiasi gani sababu inaenda kulipa vitu hivi katutajia ZN:

Gharama kamili ya vita hivyo ni $ 1000 Billion
  • Ujenzi wa Miundo mbinu iliyoharibiwa
  • Uundaji wa jeshi jipya
  • Matibabu ya walioathirika na vita- majeruhi ambao inakadiriwa kuwa laki 5
  • Malipo ta base ya marekani
  • Gharama ya kutokomeza wapinzani ambao bado wanapigana.
  • Gharama ya kuleta umoja wa kitaifa ambao haupo tena.
  • Gharama ya ubadhilifu ambao umejitokeza.
They are probably as surprized as we are na sijui watawaambiaje population yao maana hii pesa yote itatoka kwenye pesa ya kodi ambayo ingewafaidi population...
 
Another bogus pro Gadaffi news na kama kawaida ya JF wanarukia tuu bila hata kufikiria na kutafuta ukweli kidogo...sijui hata kama mnaijua 480 billions?
 
Libya inaelekea utumwani, hii nchi sasa imeshakuwa miliki ya international bankers,,,,rats wameua ndugu zao na sasa nchi inawatoka. Kitu hiki hapa.

* Cbank head Elkaber says cash crisis could worsen

* Says just $1.5 bln of $170 bln foreign assets unfrozen Hizi ndio zimeshaingia mifukoni mwa majambazi ya dunia. USA, UK, France

* Says new political system may take 5 years to bed in

Libya's acute cash crisis is set to get worse and its banking system requires a complete overhaul that will be guided by the International Monetary Fund and World Bank, the central bank's recently appointed governor said.

Saddek Omar Elkaber told Reuters in an interview that just $1.5 billion out of around $170 billion of Libyan assets abroad had been unfrozen, and with the first delivery of the war-torn country's new banknotes still nearly two months away, the liquidity crisis was far from over.

"The first shipment will arrive at the end of December... We are going to have to manage the liquidity problem until then," Elkaber said earlier this week.

A NEW BANKING MODEL

He said he hoped the influence of international organizations would help shape a new Libyan model of banking, and the groundwork had already been laid by IMF and World Bank over the previous 2-3 years. ( duuh, mapinduzi ya IMF halafu kuna watu wanasema walibya walimchoka Gaddafi btw hii model ya zamani ilifanya wonders kwa nchi ya Libya..sasa wataingia madeni na soon watajikuta bankrupted by Inter. bankers)

"The IMF and WB have a roadmap and I would like to go ahead with the facelift. We need a strong central bank," he said.

Zaidi hapa INTERVIEW-Libya cbank looks to IMF amid cash crisis | News by Country | Reuters
 
Another bogus pro Gadaffi news na kama kawaida ya JF wanarukia tuu bila hata kufikiria na kutafuta ukweli kidogo...sijui hata kama mnaijua 480 billions?

Last edited by a moderator:
* Says just $1.5 bln of $170 bln foreign assets unfrozen * Says new political system may take 5 years to bed in

Hii kali,niliwauliza washabiki kuwa kama wana uhakika pesa za walibya zitakuwa salama.Wako wapi?

Nani ana uhakika kama hiyo miaka mitano hizo pesa zitakuwa zinafanya nini kwenye uchumi huu wa dunia wa sasa?

Nani anajuwa kuwa wataruhusiwa kuwa stable kama ilivyokuwa pre Gaddafi?Wale wahuni kwenye video ya Gaddafi wata wa hunt walibya maisha yao yote kama haya ndo matokeo.

Na bado....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Libya's acute cash crisis is set to get worse and its banking system requires a complete overhaul that will be guided by the International Monetary Fund and World Bank, the central bank's recently appointed governor said.

A NEW BANKING MODEL

He said he hoped the influence of international organizations would help shape a new Libyan model of banking, and the groundwork had already been laid by IMF and World Bank over the previous 2-3 years. ( duuh, mapinduzi ya IMF halafu kuna watu wanasema walibya walimchoka Gaddafi btw hii model ya zamani ilifanya wonders kwa nchi ya Libya..sasa wataingia madeni na soon watajikuta bankrupted by Inter. bankers)

"The IMF and WB have a roadmap and I would like to go ahead with the facelift. We need a strong central bank," he said.

Zaidi hapa INTERVIEW-Libya cbank looks to IMF amid cash crisis | News by Country | Reuters
Nilijua tu! yaani I was ready to cut off my hand. Sema nilikua sijapata uhakika... Hawa IMF na IBRD sijui tutawapona vipi. How further will they go???
 
N hayo yawe mafundisho kwa vile vyama vinavyodhani vinasaidiwa na vyama vya nchi za nje.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom