NATO presents its bill to Libya...

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,580
5,366
countries foot the bill for the war. The bill rises to $ 480 billion.[equivalent to 50 years of petrol]

This war has claimed more than 70,000 dead and thousands injured. Babies, children, women, old, ... murdered by NATO bombs. All the infrastructure of Libya are destroyed schools, universities, hospitals, mosques, roads, ....

They dare to come in costume ties to sign contracts for the reconstruction of Libya. What a shame! Build a new Libya while tens of thousands of deaths are still hot!

The son of former Libyan leader Muammar Gaddafi, Seif El Islam, denied reports that he intended to go to the International Criminal Court in The Hague.

According to him, the information reported is only part of the media war against supporters of the regime of his father in order to discourage resistance.

According to the news website "News Seven Days", close to the former Libyan regime, it would have received two letters of Seif el Islam in less than a week in which he refutes the information reported in some press, that he wanted to go to the ICC.

According to the message, Seif had warned his followers against the brainwashing of the media is saying about the contacts with the ICC he and Abdallah Senussi, former intelligence chief of the regime of his father.

Seif said he was on Libyan territory while Senoussi left Libya, "some think that we were arrested, which means we will be delivered to the ICC, something that is stripped of all meaning since, "he advised, adding" We we will never, victory or death. "

Seif considers what happened in Libya as a great betrayal and people believe everything that is said, "but I say to all those who loved and were faithful Gaddafi, I tell them all it takesthey do trust their leaders "as they did with his father.

To ensure the bill that rises to 480 billion dollars, according NessBook, a source said that NATO will create a military base in Libya with a total of 20,000 soldiers. U.S. officials have expressed their approval up to 12,000 U.S. troops in this database.

The sources, members of the CNT have asked NATO to install a military base to face the danger of loyalists Kadhafi Otherwise, they will not receive the 480 billion dollars.

http://www.khalifat-al-muslimin.fr
 
Ndio mana wale wenye akili timamu tulijua hapa suala sio mafuta ni kuikalia Libya kwa miaka mingi sana ijayo...hii ni aibu sna kwa hawa vilaza wanaitwa AU...wakoloni wanavamia wanaua na wanabaki haya majitu yapo tu!!! sasa walioshangilia isaidieni Libya kulipa manake dola bil 480 si mchezo hapa ni miaka mingi mno wanalipa!!
 
Safari kuelekea umasikini imeanza...
Na sasa hivi utaskia IMF na World Bank wanakuja for a 'dialogue' , on how watawasaidia kulipa deni, at the condition that they follow a certain system and several "structural adjustment plans" ambazo zitakaribisha France na US kujenga nchi (Multinationals) na ku-establish security (behind barbed wire camps)...
 
walifikilia NATO wanampigia mbuzi gitaa? watauza mafuta yote na mwishowe watatolewa tena kwa vita na wananchi
 
The bill rises to $ 480 billion.[equivalent to 50 years of petrol]

Hilo deni ni bado plus riba,pia bado linaendelea kuongezeka kwasababu stability haitapatikana tena kiurahisi.Na pia hawatapa nafasi ya kunegotiate kuhusu resources zao kwa namna wanayotaka.

Libya kwishney kwa kifupi.

Sasa wanaingia kwenye awamu mpya ya ukombozi utakaowacost vizazi vijavyo.

Miaka 50 ni maneno tu.wako hapo for as much as they can be there kama wasipochomolewa,ila it will cost more blood and money!

50 years of petrol!Nadhani and massive bloodshed!

We'll see...

 
kwani CURRENT GDP ya Libya ni kiasi gani?????
hilo deni ni mara ngapi ya GDP???????

watajuta kuzaliwa...
 
Hata gadafi angelijua hili angeondoka mapema awaepushe watu wake na mzigo huu. Wazungu!
 
Hata gadafi angelijua hili angeondoka mapema awaepushe watu wake na mzigo huu. Wazungu!
Unafikiri hao NTC waliokubuhu hawakulijua hilo?
Ambao hawakulijua hilo ni wale waliokuwa wanavaa nembo ya mfalme,na kupeperusha bendera ya Mfalme na kupiga mayowe ya "halalahu kbar,halahu kbar" mbele ya kamera.

Sasa wataelewa pia wazungu wanauza DOMOkrasia kwa bei mbaya.

Mutoto akililia wembe........umupatie tu.

Good news ni kuwa Gaddafi amejificha bado, mpaka watakaposali kuomba arudi baada ya kuonja karaha za DOMOkrasia. Muzee G atajitokeza tena. Wawaulize Occupy Wall Street jinsi demokrasi ya ubepari inavyofanya kazi.
 
Gharama kamili ya vita hivyo ni $ 1000 Billion
  • Ujenzi wa Miundo mbinu iliyoharibiwa
  • Uundaji wa jeshi jipya
  • Matibabu ya walioathirika na vita- majeruhi ambao inakadiriwa kuwa laki 5
  • Malipo ta base ya marekani
  • Gharama ya kutokomeza wapinzani ambao bado wanapigana.
  • Gharama ya kuleta umoja wa kitaifa ambao haupo tena.
  • Gharama ya ubadhilifu ambao umejitokeza.
 
Was the amount/basis to bill agreed in advance before NATO involvement?
 
Kazi imeanza na baada ya mwaka mmoja wananchi wataanza kuonja joto ya jiwe kwa kuwa na maisha magumu.
 
hayo ndiyo waliyoyataka. imekula kwao unacheza na wazungu. wanakubomoa na kudai kukujenga uongo mtupu na unafiki ili wapate mali zako
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom