Nation media group, Rwandan connection...

Mimi Ni Mfanyakazi Wa Kutibu Ugonjwa Wako Wa Upungufu Wa Akili.

Oh please! Rabid rhetorric wont get u anywhere in this modern world my friend. Get a life and next time learn to give people space to freely express their thoughts and ideas......
 
Na Kama Kweli Wewe Ni Mtanganyika Basi Una Tatizo Hili La PTSD..........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu Gentamycine, mimi siyo mtanganyika, mimi nimtanzania. Hiyo PTSD maana yake nini? twende polepole mkuu tuelimishane.
 
Kawaulize Psychists Maana Ya PTSD Watakuelewesha Vizuri Sana ILA Mimi Kazi Yangu Ni Kutibu Tu Kama Jina La ID Yangu Linavyojieleza Na Ninatibu Haswa.
 
Ok, Bado i have a hook on you. Then kwanini umehisi nina tatizo la hiyo PTSD wakati wewe kazi yako ni kutibu? kwanini husisubiri hao ma Psychists(nafikiri ulitaka kuandika Psychiatrist) warecommend hivyo?
Husikasirike mkuu taratibu.
 
Nilikuwa Napima Ukubwa Wa Tatizo Lako ILA Kwa Kurekebisha Hapo Sasa Naweza Nikasema Kuwa Umeshapona. Nina Mitego Mingi Ya Ku Agonize Antagonize Watu Kama Nyie............. Rekebisha Na Hapo Pia Ili Nijue Sasa Ugonjwa Wako Ni Kamili Gado Kwishnei!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu, mbona unakwepa hoja? Kumbuka ulirukia kujibu issue ambayo sikukujibu wewe. Sasa kwa amani tuelekee kwenye topic yenyewe tuache bla bla za kupoteza focus kwenye issue yenyewe.
Natanguliza shukrani.
 
Mkuu Usijali Tupo Pamoja Na Nizoee tu Kwani Napenda Mno Ligi ILI Muda Uende. Nami Nakushukuru!
 
ila tukubali kwamba japo the east african lina bias ni moja ya magazeti bora kabisa E.A.
 
na hicho ndicho kinachosikitisha, gazeti hili linaaminiwa sana. Ingepaswa liweke wazi uhusiano wake wa kibiashara na Rwanda ili kutojidhalilisha.
 
Back
Top Bottom