Natetemeka/Kigugumizi nikiongea Kiingereza

kitambo nilikuwa nafahamu wanaofika chuo wote wanajua kingereza lakini kumbe syo mpakA watu waliokuwa makazini hii lughA inawapA shdA sasa usaili sijui walifanyaje pia huku jamiiforum kila mtu analalamika kutema yai ni tatzo .pia hao hao watu wanadigrii zao sjui tatzo libatokea wapi wadau.
 
MGOGO! Ngoja nifanye mazoezi maana j4 nakutana na wazungu fulani lazima nijiweke sawa. Mimi nipo Halmashauri fulani (Jina kapuni) sasa hao wazungu wanataka kuja kuwekeza lazima tuongee nao kwa kina! Daah Aisee namlaumu Babu wa Taifa hili kwa kukazania KISWAHILI tu. Ona sasa tunavochoreka na Digrii zetu za SAYANSI. the the the kibao. Najuta kusoma Bsc.
ndugu wala usijutie kitu ni kawaida tu
cha msingi ni mazoezi
 
Kuna siku nilienda ofisi fulani nilikuwa na shida na marketing manager katika hiyo ofisi kubwa tu.
Baada ya kumweleza secretary kwa ufupi akaenda kuniitia bwana.
Yule jamaa alikuwa mzungu inaonesha anatokea london mjini kabisa kwa akina blair, kingereza chake kilikuwa hakieleweki yaani anacharaza kama cherehani, labda akiongea ufanye kuandika kwanza. Yaani ilikuwa aibu pale.
Ili kujinasua, nikatema yai broken mfulululizo bila kumpa nafasi ya kuongea halafu nikasema thank you, nikamwambia secretary utamwelekeza vizuri kama nilivyokwambia eeh!
Ndio maana hiyo lugha siipendagi kabisa.
 
tatizo la wengi mkuu,na mzizi wake ni kutojiamini na kutojipanga ila ikitokea ukarekebisha haya makosa inawezekana
 
tatizo hili huwatokea wengi..sababu ni kuwa lugha unayotaka kuzungumza hauna uzoefu ila ni vyema kujiamini na kukubali kurekebishwa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom