nateseka kiukweli..

Speculation speculation speculation.... FP I am not good in that area. Mzima weye!?

Usiwe na shaka mkuu,

Ilikuwa ni mazungumzo baada ya habari. Unakikumbuka hiki kipindi?
 
Reactions: BAK
ndo nakubust hivi

hujagundua tu?

JF ni zaidi ya burudani,

Mie pia nilikuwa mpweke jana....


Hivi na wale waotafuna pensheni zao wana nafasi tena??

Ngoja nisubiri, naweza kupata mtu wa kuniboost kama betri ya gari automatic....lol!!

Babu DC!!
 

mi nimeona hapo kwenye '''seliosry''
 

Inaonesha umekuwa too selective mno. Subiri uzeekee nyumban ndo ujue raha ya kuringa
 

Pquite njia rahisi ya kuwanasa ni kuweka picha yako khalisi kwenye avatar yako na kuwasiliana na Invisible awatoe mashaka ya kuwa hiyo ndiyo wewe bila zengwe........................khalafu utaona wanavyojigonga kwako..........nawe waambie wakutumie picha zao ili usiuziwe buzi kwenye gunia kuukuu
 
Last edited by a moderator:
Inaonesha umekuwa too selective mno. Subiri uzeekee nyumban ndo ujue raha ya kuringa

Hivi unataka aolewe 2 na mtu hata asiyempenda kisa ataambiwa yupo selective?jamania hata ss wadada tuna haki ya kuangalia/kuchagua m2 unaeona anakufaa!
 

nitafute tuweze kujuana
 
duh! unatafuta mwanaume au wanaume?

Hapo kweli lazima awe specific zaidi, japo amesema wenye akiri timamu tu xaxa xijui atafanya shortlisting kupata mmoja ama atachukua wote wenye akili timamu maana inaonekana ndio kigezo pekee na mhimu.
Kila la kheri mdada katika jukumu lako hilo.
 
mi nimeona hapo kwenye '''seliosry''

Spelling error is not a big deal, Its all about marriage. There is no language which is recognised when these two organs meet such like swahili , english or any. Being in JF is a very developed and sustainable progress!!!Big up Pquite for "breaking the ice".
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…