Natengeneza tambi za dengu, Crips za muhogo na viazi

Natengeneza tambi za dengu, Crips za muhogo na viazi

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
629
Habari!!

Mimi nimeamua kuwa mjasiriamali. Natengeneza TAMBI za dengu. Crips za viazi na muhogo na ndizi.. nauza kwa jumla 800 kwa pact na wewe utauza kwa 1000 pct. Kwa atakayetaka bidhaa awasiliane na Mimi PM. Na pia natoa ajira kwa vijana kwa atayetaka nitampa pact 30 akauze kwenye jam barabarani

Au Kama una lolote la kuuliza wasiliana Nami
 
Hii ni safi sana ngoja nikirudi Tabora mjini tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom