Kwenye bango lako ni vizuri ukaweka na maelezo hizo picha umezipiga eneo lipi na lini isije kuwa umechukua picha za somalia au Kongo na ukaonyesha kama ni za Tanzania.Kuna zingine nimeziona ni za SOUTH sudan kwenye matatizo ya ukame ambako hakuna maji.Picha zionyeshe za wapi na za lini watu wahakiki hizo taarifa za bango lako
Mpwa naona herufi tu...attach badala ya copy na paste