Habari wadau,
Nakuja kwenu kwa unyenyekevu mkubwa,
Mie natengeneza mifumo ya computer .Nimefanya kazi ya kutengeneza mifumo kwa karibu miaka 20 sasa.
Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane.
Mifano michache:
Asset Management
Point of Sale
Contract and Case Management
HR management system
Garage Management system
Faida:
Huongeza ufanisi wa shughuli zako
Kuokoa Gharama
Kuongeza Faida
Kuokoa muda
Tuwasiliane jamani tufanye biashara
Gharama inategemea na mfumo wenyewe .
MM
Nakuja kwenu kwa unyenyekevu mkubwa,
Mie natengeneza mifumo ya computer .Nimefanya kazi ya kutengeneza mifumo kwa karibu miaka 20 sasa.
Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane.
Mifano michache:
Asset Management
Point of Sale
Contract and Case Management
HR management system
Garage Management system
Faida:
Huongeza ufanisi wa shughuli zako
Kuokoa Gharama
Kuongeza Faida
Kuokoa muda
Tuwasiliane jamani tufanye biashara
Gharama inategemea na mfumo wenyewe .
MM