mifumo ya kidijitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Wizara, Taasisi za umma zaelekezwa kuunganisha huduma kupitia mifumo ya Kidijitali

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amezitaka Wizara, Idara, Wakala na Taasisi za Umma nchini kuunganisha huduma wanazozitoa kupitia mifumo ya Serikali ya kidijitali ili kurahisisha utoaji wa huduma na kuimarisha uwajibikaji kwa wananchi. Prof. Shemdoe ametoa...
  2. contask

    JamiiForums Tanzania Kwanini sekta ya usafiri imegoma kuingia katika mifumo ya kidijitali

    Habari wakuu. Leo natamani tujadili mapinduzi ya mifumo ya malipo kwenye sekta yetu ya usafiri wa umma, hasa hapa mjini ambapo kero ya chenji imekuwa ya kudumu. Kila siku tunashuhudia mabishano yasiyo na tija kati ya abiria na makondakta, jambo ambalo linaweza kuisha kabisa tukiamua...
  3. NassoroTechtz

    JamiiForums Tanzania SAFARI YANGU: Nassoro Hemedi Kilimbite na Mapambano ya Nassoro TechTz – Huduma za Computer, Madishi na Mifumo ya Kidijitali

    Habari za muda huu Wakuu wa JamiiForums. Leo nimeona niingie mtaani kwenu rasmi. Jina langu ni Nassoro Hemedi Kilimbite, kijana wa kitanzania niliyezaliwa mwaka 2000. Mimi ni mmoja wa vijana wanaoamini kuwa teknolojia ndiyo mkombozi wa uchumi wetu wa sasa na chachu ya maendeleo kwa kila...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natengeneza computer systems /Application

    Habari wadau, Nakuja kwenu kwa unyenyekevu mkubwa, Mie natengeneza mifumo ya computer .Nimefanya kazi ya kutengeneza mifumo kwa karibu miaka 20 sasa. Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane. Mifano michache: Asset Management Point of Sale Contract and Case Management HR management system Garage...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ifahamu mifumo ya forum ambayo inaruhusu mada (thread/post) kuwa kutokuonekana kwa kila mtu. Ili naliona hapa JF

    1. phpBB Unaweza kuweka mada kama unapproved, hidden, au private. Watumiaji wa kawaida hawawezi kuiona hadi iwe approved na moderator. Permissions hutumika kuzuia user groups fulani wasione baadhi ya mada. 2. Discourse Inaruhusu mada kuwekwa kwenye private categories. Unaweza kuficha post...
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kitila iwezeshe TRA kuwa na mifumo yote ya kidigitali badala kusumbua wafanyabiashara na ni lini wafanyabiashara ndogo watakuwa na maeneo yao?

    Moja kwa moja kwenye mada ambapo leo hii nimekusikia ukitoa tamko kwamba sasa TRA itaja na mfumo bora wa nyaraka wa kukusanya kodi kuanzia Julai 1, 2024. Tatizo lililopo TRA ni upigaji ambapo maofisa wa TRA hujidamka mapema asubuhi kuwahi kusumbua wafanyabiashara na kugeuza usumbufu huo kuwa ni...
Back
Top Bottom