Natengeneza Application za simu na ku launch kwenye market

Natengeneza Application za simu na ku launch kwenye market

albertt

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
339
Reaction score
78
Natengeneza application za simu zenye platform ya android na ku launch playstore.kwaajiri ya biashara,shule,hospitali,studio,viwanda,kampuni na hata mtu binafsi kukingana na mahitaji yake.kama upo interested na hii kitu.ni PM tufanye biashara
 
Attachments

  • 1424271515999.jpg
    1424271515999.jpg
    84.2 KB · Views: 234
  • 1424271598916.jpg
    1424271598916.jpg
    94.1 KB · Views: 215
  • 1424271665600.jpg
    1424271665600.jpg
    91.9 KB · Views: 215
  • 1424271831739.jpg
    1424271831739.jpg
    12.4 KB · Views: 202
  • 1424271853490.jpg
    1424271853490.jpg
    9.1 KB · Views: 207
  • 1424271901511.jpg
    1424271901511.jpg
    49.2 KB · Views: 191
  • 1424272005621.jpg
    1424272005621.jpg
    63.2 KB · Views: 204
Mkuu mrm pitia hapa.
 
Last edited by a moderator:
unaweza kutengeneza app ya kuniwezesha ku reply meseji kutoka mitandao ya simu? Zile ambazo kwa hali ya kawaida huwezi kuzijibu? Eg za kukuonesha kiasi cha salio ulilo baki nalo au zile za promosheni. Coz kuna kitu nataka kufanya ambacho kitaishangaza dunia kwa muda usio pungua siku tatu. Ahsante.
 
Yah naweza kukutengenezea uka reply,ila hawata deliver sms yako
 
Ukinitengenezea ya kumu access mtu popote alipo kwa kutumia namba yake ya simu nitakayoweka katika simu yangu ntakupa kiasi chochote cha pesa kile utakachotaka
 
mkuu kazi nzuri...ila mkuu mbona hzo screenshot za application zako znaonyesha zna interface ya kufanana means kuna icons 6 ..labda ungejitahid kuleta interface tofauti tofauti kuongeza utamu Wa application
 
Back
Top Bottom