natembelea jukwaa hili nikiwa mapumzikoni

natembelea jukwaa hili nikiwa mapumzikoni

Aaron

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
3,019
Reaction score
4,695
Wana jukwaa!!
Nikiwa mapumzikoni ndipo napata wasaa mzuri wa kutembelea jukwa hili tofauti na majukwaa mengine ambayo haipi hata nusu saa sijatembelea. Hili jukwaa nalipatia mda wa kutosha kwani lina ushauri (+ve&-ve). Kutembelea jukwaa hili nikiwa mapumziko ya weekend au sikukuu ni kujipa wasaa mzuri ili nifatilie kwa kina michango yenu wanajukwaa.
Pamoja na hayo nachukua fursa hii kuwapongeza akina dada wa humu tofauti yao na wale wa fesibuku ni kubwa mnoo!
 
walioko facebook ndo hao hao waliomo humu. Just kwamba mazingira ya umu yanawabana na kuwalazimu ku-cope with the JF atmosphere
 
Back
Top Bottom