Natembea na mume wa mtu

Popote ulipo Kaizer, hebu njoo umfanyie usajili huyu binti.

Swali la kizushi: Je boyfriend wa mtu unaweza megana naye? Mchumba wa mtu?
Swali la mtego: Utamjuaje mme wa mtu?

USIZINI; hii ni kwa singles na waliooa kama mke/mme si wako. may be boyfriend bila ngono hapo sawa. Kumbuka boyfriend sio mume so kuwa na mazoea nae sio dhambi. the same to mchumba kuvunjwa uchumbaa sio dhambi kwani bado haijawa ndoa.

Mume wa mtu unamjua kwa mengi, kama hivyo ameshafunga ndoa, wengine wanashuhudia muunganiko kanisani, wengine wanaangalia pete za ndoa (hii ni kulingana na imani ya mtu).
 
Swali la msingi ni, thamani yako kwa ndoa na wewe kuwa nyumba ndogo kipi unakipa umuhimu?

Kama penzi lako kwa huyo mkaka ni kubwa kuliko ndoa jilipue tu.

Ni ngumu mno kupenda, usione watu wako ndoiani, sometimes hakuna penzi hata dogo hadi unamiss smoo hausi.
 

Heheh na kweli aisee...alikutana naye kabla hajafunga ndoa. Nini kilichomzuia kuvunja uchumba at that time aje kudanganya leo anampenda!??

Anyway, mwache a-enjoy while it lasts...


Hahahahha......... Mentor hebu kuja pande hii ujibu hili swali la mdau.

Huyu si yule alikaa meza ya pembeni pale LEO TUPO HAPA. KakaKiiza anamjua vizuri maana alikuwa akimtongoza waondoke wote!!!
 
Last edited by a moderator:
Wasaidiane tu until faza notisi

Mme wa mtu si sumu, sumu ni mke wa mtu. Mwambie bibie mimi babu ODM nimempa ruksa afaidi storongo hiyo. Ila akikosa wa kumuoa asimlaumu mtu.
 
Hivi papuchi huwa inachakaa??

ni tamaa za mwili na upweke unakusumbua hamna lingine..angekuwa anakupenda kiasi hiki kwanini haku-fight for you bibie? mpe papuchi weee mpaka aichakaze, utakuja kushtuka too late..!!
 

Bold: Kuwa boyfriend bila ngono kuna tofauti gani na kuwa rafiki na mme wa mtu bila ngono???
Red: Kumzoea Mme wa mtu bila ngono kuna tofauti gani na kumzoea boyfriend bila ngono?
Blue: Kama hivyo ndio viashiria vyako vya kumjua mme wa mtu, nakupa pole sana. Iko siku utagegedwa na mme wa mtu bila kujijua. Usije ukasema sijakuonya.
 
Mme wa mtu ni sukari

Nukuu ya mwaka.

Na ukiona mke wa mtu kamwambia nyumbba ndogo ya mumewe tindikali ujue mume ni bushoke. 🙂

 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Achana na mume wa mtu. pia ishinde na ikimbie zinaa.Tafuta na wewe mume wako utapata huku ukimshirikisha muweza wa yote .Kumbuka mshahara wa dhambi ni mauti na ukimwi nao unakutamani yakupasa ujizuie.
 
Well said!!

Malizia kabisa kusema, asilimia kubwa ya watu wameoa/olewa na watu wasiowapenda kwa dhati. (hujawahi kusikia kitu inaitwa wife material?)
 
hiyo ngumu we endelea tu hivyo ndo maisha ya mjini
tena zaa nae kabisa akili kumkichwa

Ushauri wako sio mzuri hata kidogo, jaribu kuogopa Mungu, usimpotoshe mwezako dada mbona wanaume wako wengi naye bado ni binti atulie tu na atapata wake mwenyewe.

Unatakiwa kuthamini ndoa ya mwenzako, imeandikwa "Ndoa na iheshimiwe na watu wote", na pia sio vema kuendelea kufanya machukizo mbele za Bwana kwa kuvunja amri ya sita na hata ile ya tisa ya Mungu.

Mwenzako anajua anachofanya sio kizuri na nafsi yake inateseka, ana mzigo, anaomba msaada jinsi ya kutoka lakini wewe kwa kujua ama kutojua unaendelea kumtumbukiza shimoni. Hapana sio vema, kwa kufanya hivyo unazidi kubomoa badala ya kujenga dada. Imeandikwa pia ya kwamba "Ole wake yule atakayesababisha mojawapo wa wadogo hawa kupotea", sio kwamba nakulani, ra hasa dada yangu ila ninasema hivi ili daima ukumbuke kutoa ushauri wenye kujenga na unaoenenda na mapenzi ya Mungu.

Najua kwa ushauri wako huenda na wewe unapata huduma ya kimapenzi toka kwa mume wa mtu, sawa lakini isiwe sababu ya kuharalisha ya kwamba ni mtindo rasmi kwa kila mwanamke ambaye hajaolewa kufanya hivyo.

hakuna cha habari ya mjini, Ikimbie zinaa, kuna ngoma, nk.
 
Na mie nimemuuliza vile vile
Hajui zinapitisha watoto na bado ziko na sukariguru tu.

Kuna mambo ni umri tu, wakati za sekendare bikra ilikuwa deal kweli.
Waliozitunza, ambao hawakutunza, sasa hivi ngoma droo tuna wajukuu tu.

Nani alikudanganya K zinachakaa? Kongosho hebu njoo pande hii.
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndipo naamini kuwa mahawara hawaachani
 
Ha ha ha, astuone tumezeeka tumekwepa mishale mingi.

Huko ndoani Mungu ndio anajua mwenyewe.

Well said!!

Malizia kabisa kusema, asilimia kubwa ya watu wameoa/olewa na watu wasiowapenda kwa dhati. (hujawahi kusikia kitu inaitwa wife material?)
 
Na mie nimemuuliza vile vile
Hajui zinapitisha watoto na bado ziko na sukariguru tu.

Kuna mambo ni umri tu, wakati za sekendare bikra ilikuwa deal kweli.
Waliozitunza, ambao hawakutunza, sasa hivi ngoma droo tuna wajukuu tu.
Labda kama atababatiza bikra ya kichina LOL
 

We kibabu si ukalale bana, najua unamnyatia kimya kimya huyu mdada teh teh teh
 
Mbali Ni Mbinguni Tu! Ktk Mapenzi Ya Kweli Angekusaka Hadi Mngeoana! Hebu Jaribu Kuvaa Nafasi Ya Huyo Mke Na Huyo Mke Awe Kimada,ungejisikaje Machungu Ya Kuibiwa Mume! Huyo Mwanaume Hawezi Kukuambia Mateso Ya Mkewe Ili Usije Kumuacha! Tafuta Wako Umfaidi Upendavyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…