Sijakuelewa ..Hicho kialama kinakuwepo kwenye cm. Aither Kuna aunt virus cleaning umedownload. Ndo ipo hivyo.
Na hakina mathara. Jaribu kukilic Hicho
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Ngoja nifanye hivyoHiyo huwa inatokea pale JF inapokuwa kwenye matengenezo baadaye huwa inarudi kuwa sawa,jaribu kudownload app ya tapatalk ndani yake unadownload app ya jf utaitumia vizuri bila usumbufu.
-Ndumilakuwili-
Ahsante sana sasa natumia tapatalk hizo alama hamna.[emoji4]Hiyo huwa inatokea pale JF inapokuwa kwenye matengenezo baadaye huwa inarudi kuwa sawa,jaribu kudownload app ya tapatalk ndani yake unadownload app ya jf utaitumia vizuri bila usumbufu.
-Ndumilakuwili-
Ngoja nifanye hivyo
love thé love or hâte thé love.....
[emoji106]Ahsante sana sasa natumia tapatalk hizo alama hamna.[emoji4]