Natatizwa na hii kitu!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natatizwa na hii kitu!!!!!

Discussion in 'JF Doctor' started by Katavi, Sep 9, 2009.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikihudhuria mijadala na semina mbalimbali zinazohusu ukimwi na kwa kiwango fulani nimeelimika sana. Wiki iliyopita nilihudhuria semina kuhusu ukimwi, na nikapata kitu kipya kuwa PUNYETO ni njia nzuri ya kujikinga na ukimwi, na mwezeshaji akasisitiza kuwa haina madhara. Je ni kweli punyeto ni njia nzuri ya kujikinga na ukimwi na haina madhara? Naombeni darasa wakuu, ili kama ni kweli nianzishe chama cha wapiga puli maana ukimwi si mchezo!!!!!
   
 2. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hebu fuatilia thread hii yawezekana majibu utayapata hapo
   
Loading...