Natatizika mwenzenu. . .

umeanza shindwa ku perform kunako bed eehh.!!?? Majannga na stress zote huanzia hapo...
 
Yaani, kama ulikuwepo
Nasubiri nifikie size nayotaka nirudie tabia mbovu japo kwa wiki moja. Nimejitahidi kwa kweli, some kgs zimepungua ila ni kazi sana.

 
.... nahitaji kupewa moyo kuwa naweza kufanya na kufanikiwa. ....ni uzito wa mwili, umeanza kuninyima raha kabisa, nahisi nitakuwa depressed . i.

Zingatia>>>
1. Amini >>> Uzito siyo issue kabisa kama uko ndani ya BMI - Body Mass Index yako.. Anayekupenda anakupenda jinsi ulivyo na siyo wewe unavyotaka uwe...
2. Kumbuka >>> Stress inaweza kukufanya uongezeke uzito..na wala sio kwa sababu ya chakula au kukosa mazoezi tu..
3. Nidhamu ndio chachu ya mafanikio yeyote..jenga utamaduni unaoutaka kama vile mazoezi kidogo na zingatia nidhamu..
4. Penye nia pana njia.... Hata kama kuna foleni kibao..mazoezi hayaitaji muda mrefu na sehemu maalum..dakika 15 kila siku ni nyingi sana..
5. Usiogope kula michemsho, chapati, mahanjumati etc....Kula ila usile kwa fujo..kula sehemu utakayoweza kuitumia..sio kujaza tumbo kama kesho mwisho wa dunia...

Unaweza ila hujaamua.. nasi hatuwezi kukusaidia kuamua...
 

Find a patner to exercise with,a person who does exercises regularly,he/she might be of great help to keep u in track!
 
Asanteni, kwa michango yenu, yaani kuanzia leo nachukua hatua maana my self esteem is at stake now.
hii ni hatua kubwa sana, kujuta/kuchukia...... hakika utafanikiwa maana nia na sababu unayo.
Kitu kikishakukera mwenyewe lazima utaweka efforts za kukabiliana nacho kuliko kama huo uzito ungemkera zombie halafu ndo akuambie ni rahisi kumpotezea.
mazoezi yanahitaji moyo...... kila nikianza naishia siku 2 tu, uvivu double double.
Kuku siyo wabaya..... chemsha, usikaange.....
chapati achana nazo maana ni wanga na mafuta tupu.
soda/ice cream....mmmmmmmhhhhhhhhhhhhh! kwani una allergy na maji ya kunywa rafiki?
wali kula kidogo kwa ajili tu ya kupata kiasi fulani cha wanga mwilini. Ukiweza pika wali na maji tu, no chumvi wala mafuta, kama mchele mzuri wali huo unakuwa mtamu sana..... achana na wali wa nazi, lol!
Umeona King'asti, snowhite na Nicas Mtei walivyomsingizia zombie?
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, ukumbuke Kongosho ana zombie.....
hapo nilitaka kumshauri zombie kama anasoma hapa ajitahidi kumletea Kongosho vistress vya kiaina aina tuone kama hajaomba ushauri wa kuongeza kilo, lol!
Ila wengine wakiwa na stress wanakula saaaanaaaaaa, tena junks, basi balaa siyo mchezo
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

hapa sasa ratiba za kitimoto zianze ku-deccelerate!
 
Kongosho pesa imekukubali shosti. Jitahidi kupunguza kula na kunywa saana.
 
Last edited by a moderator:
Yaani, kama ulikuwepo
Nasubiri nifikie size nayotaka nirudie tabia mbovu japo kwa wiki moja. Nimejitahidi kwa kweli, some kgs zimepungua ila ni kazi sana.

AHAHAHHAHAHHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAHAHAHA mi ndo mana sitaki kitu kinaitwa diet!
kuna kipind tuliwahi kufnya diet na wenzangu hapa ofisini (ahahahhaha kwa wale wapenzi wa wanawake na miili yao wakijaga ofisini kwetu huwa wanakaaga tu bila sababu)
basi bwana!tukapiga diet yetu wenyewe mwezi mzima!na kweli tulifanikiwa kupungua bana!
ehehehheheh baada ya mwezi kuisha!
SI TUKAENDA CHINESE RESTAURANT!kujipiga lunch ya kujipongeza!
uuuuuwih!wacha tule!wacha tufidie zile hela zote tulisave!
wacha tujikumbushe utamu wa kuku wa kukaanga na tambi!
ah! sitaki mimi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…