Natatizika mwenzenu. . .

ukitoka job unipitia nikakuonyeshe kijiwe cha firigisi moa matata!yule mama anatengeneza firigisi ka kalaaniwa vile!nimwambie atuwekee na nini ugali,ndizi,viazi,au spaghetti?
Bora ukosee kuoa ama kuolewa kuliko kugeuzwa zombie. Hehehe mara ushaanza kuwa concious na appearance?

Nacheka kama mazuri lmao. snowhite njoo umshauri shosti.
 

Zombie ameshaanza kutoa masharti magumu. Sasa Kongosho ameshaanza kuwa victim wa masharti hayo... Kongosho wa sasa si yule wa zamani....
 
Last edited by a moderator:

kwani ulianzaje kupenda hizo mambo nahisi utaacha kama ulivoanza jikataze tu utaweza.. yaani kama soda ulikuwa unakunywa fanta anza kunywa club soda ice cream potezea ila mpunga duu ya hitaji moyo..
 

nilikuwa najaribu kutafuta haya maneno, nashukuru umeyanena...
 
Asanteni, kwa michango yenu, yaani kuanzia leo nachukua hatua maana my self esteem is at stake now.
Niliwahi kuwa na tatizo kama la kwako, kuwa nikianza mazoezi sidumu hata wiki, ila baadae nilikuja kupata suluhisho. Tulikubaliana marafiki watano kuanzisha "fat club" ya kufanya mazoezi kila jioni, siku 5 kwa wiki. Mtu usipofika unalipa faini ya sh elfu 5 kwa siku. Ukichelewa sh elfu 2. Kila nilipokuwa nawaza sh elfu 5 zangu uvivu uliniishia hadi baadae nikajikuta nimekuwa committed. Tulianza watu watano, but baadae wakaongezeka hadi tukafika 11. Ndani ya miezi 6 nilifanikiwa kupunguza kilo 12. Ela tulizokuwa tunakusanya tulizitumia kununua vifaa vya mazoezi vidogo vidogo kama kamba za kuruka nk. Kuna jamaa alipunguza kilo 20 kwa hiyo miezi 6...
Kwahiyo ninachoweza kukushauri kama una rafiki mmoja au wawili wenye nia kama hiyo anzisheni kikundi na mujiwekee sheria kabisa... Kufanya mazoezi mwenyewe inatia uvivu...
 
HA ha ha ha
For some reason, nimegain wait ya ajabu kwa ndani ya miezi kama 10 hivi, i want to go back nilipopazoea. Heshima itashuka ujue? Siku zote niko konshazi na wt sana.

if at all this is what we call NEW KIDS IN THE BLOCK!
yu better think it twice lovie!
please!
 
HA ha ha ha
For some reason, nimegain wait ya ajabu kwa ndani ya miezi kama 10 hivi, i want to go back nilipopazoea. Heshima itashuka ujue? Siku zote niko konshazi na wt sana.

una ngapi kwani?
manake si ajabu ukawa unalia lia hapa kumbe ulikuwa na 65 sa hz una 68
and hiyo miezi kumi nyuma kwa kumbukumbu zangu ndio zombie alitolewa kwenye uzombie sio!?
THE IDEA TU YA KUWA U'R IN LOVE INAKUFANYA URELAX!
its okeeeey!utapungua tu with time!
 
Imagine unarudi home unakuta mpunga wa nazi, afu unaishia kukaa mezani na kula matunda na mboga mboga tu? Ila nitafanyaje, najua nitazoea tu

kwani ulianzaje kupenda hizo mambo nahisi utaacha kama ulivoanza jikataze tu utaweza.. yaani kama soda ulikuwa unakunywa fanta anza kunywa club soda ice cream potezea ila mpunga duu ya hitaji moyo..
 
Kupungua ni kubadili lifestyle..

Kufanya diet na kufanya mazoezi kwa muda fulani vinaweza kukusaidia lakini unapoacha unarudia pale pale au na zaidi.

La muhimu watch what you are eating(punguza uwingi kidogo kidogo, punguza ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari),

fanya mazoezi kuwa sehemu ya maisha yako(sio gym.. Ya kwako mwenyewe ambayo unaweza fanya hata home),

kunywa maji kwa wingi ukiweza kunywa. Na ya moto.

Watch your weight on regular basis.. (jitahidi uwe unapima kwenye uzani mmoja wa uhakika as nyingine zinaweza kukudanganya) Hi itakusaidia kujua kuwa uzito unaongezeka,uko pale pale au unapungua.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Imagine unarudi home unakuta mpunga wa nazi, afu unaishia kukaa mezani na kula matunda na mboga mboga tu? Ila nitafanyaje, najua nitazoea tu

Aiseee hapo kwenye nazi hapo na mie mgonjwaa daaa.. Napenda sana misosi yenye nazi mitamujeee.. Mafuta sasa uwiii

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ni wenge zangu tu, kuna size fulani nikifikia amani yote inatoweka
Sipendi nikiwa hivi, hata nikiwa na mtoko ziwezi vaa kata mikono, mkufu haukai shingoni?!

so ni wenge zako tu!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…