Natarajia kuoa hivi karibuni

Natarajia kuoa hivi karibuni

chapachapa

Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
93
Reaction score
21
Waungwana katika JF mimi ndo naingia ulingoni na huu ndio uzi wangu wa kwanza, pia ninaomba ushauri kwa kuwa wiki mbili zijazo natarajia kufunga ndoa na mara yangu ya kwanza kukutana na mwanamke naomba madodoso siku ya kwanza inakuaje???????
 
Angalia usije ukazimia. Peleka jukwaa la MMU
 
utatokwa na jasho sana kwenye harusi!
Mikono itatetemeka mno!
Utaona mc anachelewesha sherehe kuliko kawaida!
Mbaya zaidi utashindwa kusimamisha uume kutokana na taharuki!

Karibu sana chamani!
 
Waungwana katika JF mimi ndo naingia ulingoni na huu ndio uzi wangu wa kwanza, pia ninaomba ushauri kwa kuwa wiki mbili zijazo natarajia kufunga ndoa na mara yangu ya kwanza kukutana na mwanamke naomba madodoso siku ya kwanza inakuaje???????

Chukulia kama kitu cha kawaida, na siyo lazima kufanya tendo la ndoa siku hiyo unaweza subiri hata kesho yake. Honey moon mnafanyia wapi, mambo ya practical naweza nije nikufundishie huko.
 
Lazima ulale uchi siku hiyo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ulikuwa wapi muda wote huo,ina maana hujacheza hata ule mchezo wa baba na mama? una umri gani?
 
Watu ambao hawajawahi kuduu kabla ya ndoa kumbe bado wapo duniani?

Btw kwanini umejiita chapachapa?
 
Hahahaa sijawahi amini kuna mwanaume anaweza kukaa mpaka ndoa hongera kaka wewe chukua hicho kifanyio chako tumbukiza zungusha kiuno kazi inakwendaau hebu tafuta pono huku upate kaujuzi kidogo ila sio ile ya kula tigo eeeutaachika ndugu
 
Waungwana katika JF mimi ndo naingia ulingoni na huu ndio uzi wangu wa kwanza, pia ninaomba ushauri kwa kuwa wiki mbili zijazo natarajia kufunga ndoa na mara yangu ya kwanza kukutana na mwanamke naomba madodoso siku ya kwanza inakuaje???????
hongera kwa kua bikra bila shaka kwa dunia ya sasa utakua unajua baadhi ya mambo haya yakuhondomola chakula chako cha usiku hata kama hujawai fanya mwandae mpenzi wako vyema kwa michezo tofautitofauti ukiona mtoto kalegea basi waweza ingiza mtalimbo wako ndani ya na mambo mengine yakifatiwa like mauno mastyle mbalimbali na kadhalika
 
Je huyo unayetaka kumuoa hajawahi lala na mwanaume...!
Kama tayari basi atakufundisha yeye:confused2:
Kama bado tafuteni bibi na babu vizee kweli kweli na kitambaa cheupe...!
Watawafundisha kila kitu wao hamu iliwashawaisha wala msione aibu.......!:becky::becky::becky::becky::becky:
 
Waungwana katika JF mimi ndo naingia ulingoni na huu ndio uzi wangu wa kwanza, pia ninaomba ushauri kwa kuwa wiki mbili zijazo natarajia kufunga ndoa na mara yangu ya kwanza kukutana na mwanamke naomba madodoso siku ya kwanza inakuaje???????
hiyo ki2 huna haja ya kufundiswa kaka kama jogoo mzima akiona ile ki2 atasimama tu na utafanya mambo acha uwoga mwambie akupanulie uone shimo nyoka aingie
 
Lazima uwe uchi, unyoe, na kama wee ni mwanaume hujawahi kulala na demu, ile kitu imefichwa sana, iko mwisho wa mgongo wa demu, mfunue, kwa nyuma, kuna too holes.... sasa jaribu zote.... ukiona zote zinapita free VUNJA HONEYMOON...... ANZA TIGOMOON.....
 
he he he, jiandae kuchunguliwa kwa hiari.

Siku ya kwanza pigeni story tu, lazima kidude kigome kutembea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom