Natarajia kuoa hivi karibuni

Natarajia kuoa hivi karibuni

Hongera sana kwa kujitunza!
Waungwana katika JF mimi ndo naingia ulingoni na huu ndio uzi wangu wa kwanza, pia ninaomba ushauri kwa kuwa wiki mbili zijazo natarajia kufunga ndoa na mara yangu ya kwanza kukutana na mwanamke naomba madodoso siku ya kwanza inakuaje???????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom