Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Hii sana sana nimejifunzia kanisani mkuu na mtaani kwa kifupi ni utundu wako tu.
Aisee
Hii sana sana nimejifunzia kanisani mkuu na mtaani kwa kifupi ni utundu wako tu.
Ulifanikiwa kufika ndugu unipe ABC za hapo mbingu nami nijisogezeKesho ndo naingia moro wakuu
Naenda moja kwa moja mpaka sehem inayoitwa Mbingu nikalime Mpunga